TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8.
Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na Laizer. Tafsiri ya kauli hii ni kwamba siyo tu kwamba Watanzania tusingejua Serikali imenunua madini hayo kwa kiasi gani cha pesa bali tusingejua hata uzito wa madini hayo.
Sababu alizotoa Lema za dili la siri na Laizer hazina mashiko kabisa zaidi uonevu, wizi,.na utapeli ambao mwisho wa siku Laizer angekosa haki yake na pesa hiyo kuangukia mikononi mwa wachache badala ya Serikali.
Eti kwa dili la siri na Laizer , kungetangaza.na kuyaongezea thamani madini hayo duniani. Nani kamdanganya Lema kuwa dunia haijui kuwa Madini ya Tanzanite yana thamani? Dunia ipi haijui kuwa Laizer amepata madini yenye uzito wa kilo 15? Lema akafungue hizi linki ajue kuwa Marekani, uingereza, India , Vietnam na kwingineko wanajua.
[28/06, 16:37] Mohamad Abdallah: Tanzanian miner becomes overnight millionaire
[28/06, 16:48] Mohamad Abdallah: Tanzanian mine owner celebrates discovery of $3.3m gemstones
[28/06, 16:53] Mohamad Abdallah: Tanzanian miner becomes overnight millionaire by selling rare gemstones for over $3 million
[28/06, 16:54] Mohamad Abdallah: Know how this Tanzania man became overnight millionaire
Lakini kauli ya Lema inatufungua macho na masikio kuwa kama kauli ya Lema ni msimamo wa upinzani ,basi upinzani haujawa na nia njema kwa Watanzania.
DILI LA SIRI NA LAIZER? Siri ya nini?
Mungu amepanga Mambo haya yatokee kipindi hiki cha Magufuli ili Watanzania wanyonge wanufaike.