Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JE NI KWELI KAAGIZWA? NI LAZIMA ASEME? Sakata la CHADEMA na Polisi huko Mwanza lina harufu ya hujuma zifuatazo: 1. Je ni kweli Mh. Rais kaagiza kongamano lizuiwe? 2. Kama kaagiza kwa nini...
24 Reactions
85 Replies
7K Views
Kamishna wa Polisi Chagonja ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi. Rais pia amemteua Kamishna wa Polisi Clowding Mtweve kuwa katibu tawala wa Mkoa wa Mwanza. Chanzo: EATV
1 Reactions
174 Replies
36K Views
Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani...
34 Reactions
178 Replies
14K Views
Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge...
32 Reactions
44 Replies
5K Views
Mambo ya kuogofya sasa yameanza kushika kasi na moja yake ni hili la mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel kupiga marufuku mikusanyiko yote isipokuwa misiba na ibada. Ukiondoa makusanyiko hayo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
MTIZAMO AGIZO LA RAIS, WAZIRI WA FEDHA PAMOJA NA WAZIRI MKUU JUU YA MABADILIKO YA TOZO ZA MIAMALA Wakati tozo mpya za miamala zinatangazwa, nilikuwa miongoni mwa watu waliounga mkono wazo hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bwana Macrice Daniel Mbodo Leo tarehe 17 Julai ,2021 amefanya kikao na Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania Bara na...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Anachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanajukwaa, nadhani serikali yetu inabidi iangalie kwa umakini mkubwa haya mambo ya ukatili ndani ya hii nchi. Kuna mambo ya ajabu mno. Mara kwa mara naenda Mikocheni kumtembelea mchumba wangu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni...
8 Reactions
65 Replies
7K Views
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu...
6 Reactions
95 Replies
9K Views
Mwaka 2013 tumewahi kuwa kwenye sintofahamu kama hiihii ya wananchi kulaani lengo la serikali kutoza kodi kwenye laini ya Simu. Baada ya kelele nyingi za wananchi, rais Kikwete alifuta kodi hii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili. 1. Pesa (Je, atafaidikaje kwa jambo fulani). 2. Position (Je, anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals ) 3. Imani (aliyeko...
14 Reactions
62 Replies
4K Views
DC TEMEKE JOKATE MWEGELO:"HILI NI SUALA LINALOGUSA TAIFA" Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Urban Mwegelo ameungana na wakuu wa idara pamoja na wataalamu kutoka mamlaka ya mapato Tanzania...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kesi ya Sabaya? Ha ha ha! Anashinda mchana hivi anaondoka akionesha vidole viwili alama ya ushindi. Huku akiwa amewagaragaza waliomshtaki. Mbona inaonekana tu ipo wazi wala hata haihitaji...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri wa fedha mh Mwigulu Nchemba alisema Bungeni kwamba bado miradi mikubwa ya Bwawa la umeme na SGR inahitaji fedha hivyo siyo vema kuchukua mikopo kwa sasa. Dkt. Mwigullu amesema ni dhambi...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu: VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom