Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kulingana na 'statistics on mobile telecom services in africa- global market', m-pesa, tigo-pesa, na airtel money, jan- mar 2020 zilifanya miamala 93.8bilion sawa na miamala 375.2 bilioni kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia. Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Naomba tujadili kidogo kuhusu suala la mwelekeo wa Serikali yetu kwa sasa juu ya kushughulika na kero za wananchi. Je, ni kweli Serikali ya chama Cha Mapinduzi wameshindwa kuongoza nchi? Je...
0 Reactions
10 Replies
737 Views
Natambua kuwa Rais Samia anataka kuvutia uwekezaji wa ndani na nje lakini hajagusa maeneo ya msingi ambayo yanaangaliwa na wawekezaji. 1) Nchi ambayo sheria za kodi zinabadilishwa kila mwaka...
4 Reactions
3 Replies
737 Views
Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania. Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti...
28 Reactions
127 Replies
8K Views
Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Watanzania tuwe macho na hawa watu mana tunawezakuangamia kama si kuharibu kizazi chetu kijacho. Watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, na kwa muonekano wao ukiwaangalia kwa haraka ni watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Najiuliza kama sheria inasema hivi, inakuwaje viraka vingine huwa vinaachwa kwa muda mrefu mpaka vinageuka kuwa mashimo makubwa yasiyopitika.. Mfano mzuri barabara ya Keko ============= Naibu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa unyenyekevu mkubwa Rais Samia ashauriwe ili nae apange kalenda ya mchakato wa kumalizia uwandishi wa katiba mpya. Sio rahisi kwa mwaka huu kuandika katiba mpya kwakuwa bajeti ya mwaka huu...
2 Reactions
2 Replies
880 Views
Hakika Tanzania ni moja ya nchi zilizobarikiwa kuwa na RASILIMALI nyingi sana. Tanzania ina Maziwa Mito Mabawa Mbuga za Wanyama Mabonde Milima Ardhi Watu Pamoja na Vyote hivi Tanzania ni nchi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Four days after the Electronic and Postal Communication Act (CAP 306) came into effect, the Tanzania Mobile Network Operators Association (Tamnoa) has said the business has dropped drastically...
20 Reactions
153 Replies
18K Views
Kikao cha dharura kimeitishwa leo na kitafanyika kujadili kitu cha kufanya huko pemba
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wangu wa Moyo, angalia sana maoni na ushauri unapoewa na wasaidizi wako. Mara nyingi watakupa ushauri wa kukuangusha. Vuta pumzi kwenye siasa. Panga safu ya kukussidia kupata utulivu wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukitaka orodha ya Mabunge yanayo pitisha sheria za hovyo basi Bunge la Tanzania hupaswi kuliacha kabisa. Pale Dodoma Bunge limegeuka kuwa taasisi ya kupitisha kula kinacho pangwa na Serikali...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbinu ni zile zile hakuna jipya katika Serikali zetu za Kiafrika. Kutengeneza tatizo halafu unalitatua. Tumeona jinsi ambavyo sasa wana CCM wameambiwa wajifanye kumwomba Rais Samia aangalie suala...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba tujue mahala pa kuanzia kuelekeza malalamiko yetu. Kwa muda mrefu sasa wale tunaowatuma bungeni kutuwakilisha wameshindwa kabisa kutekeleza wajibu wao badala yake ndio wamekuwa...
1 Reactions
2 Replies
604 Views
Back
Top Bottom