Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,502
- 51,098
Mwaka 2013 tumewahi kuwa kwenye sintofahamu kama hiihii ya wananchi kulaani lengo la serikali kutoza kodi kwenye laini ya Simu.
Baada ya kelele nyingi za wananchi, rais Kikwete alifuta kodi hii.
Sasa najiuluza je serikali haina kumbukumbu, au waliliweka hili jambo chini ya kapeti ili watu watulie kwanza?
Ile kodi ililenga kuipatia serikali bilion 178, Ukiangalia gharama za hii kodi iliyopigiwa kelele ni ndogo kuliko bei ya Dege moja la Dreamliner au Airbus ambayo bei zake zinazidi bilion 400. Hii itupe picha kuwa Hii midege tuliyonayo ilivyotutia umasikini.
Halafu cha ajabu serikali ya Samia nayo inajitapa kuongeza manunuzi ya Ndege nyingine TANO. Wanatutia umasikini kwa miradi pasua kichwa huku wanaendelea kutukamua kodi ambazo zimeshathibitika kututia umasikini.
Msome Kikwete hapa chini, akibatilisha tozo ya laini za simu mwaka 2013