Mbowe atumia lugha chafu. Amuita DC Ilemela mjinga, hana Wilaya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,165
4,581
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet
===
1626778501497.png
 
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Huo ndiyo ukweli DC wa Ilemela ni mjinga!
 
Kamanda mchovu sasa tuambie hiyo ni ramli chonganishi au ujumbe wako ni upi hasa, uongo ni upi hapo?
 
Back
Top Bottom