Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu. Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi...
22 Reactions
99 Replies
6K Views
Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ninalazimika kuuleta uzi huu baada ya hatimaye kupata nafasi kuisikiliza sehemu ya hotuba ya mheshimiwa Mbowe: Katika hotuba hii, sioni popote penye tatizo lolote na mtanzania yeyote: 1...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika miaka karibu 24 ambayo Mwalimu Nyerere alikua kiongozi wa Tanganyika na baadaye Tanzania, kulikua na majaribio matatu ya kupindua serikali. Wakati huo hiyo ndiyo ilikuwa njia pekee ya...
1 Reactions
1 Replies
714 Views
Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Salam kwenu wote Wana jukwaa. Kwa kifupi sana Napenda nimpongeze Waziri wa Fedha na mipango Kwa kazi nzuri. Si rahisi sana kuona mtanzania ametoa pongezi Mahali ambapo amekamuliwa Salio lake ila...
1 Reactions
5 Replies
736 Views
Tafadhali ninaomba mwenye CV ya mwenyekiti mpya wa BAVICHA Mh.Patrobass na mruthi wa John Heche ini mimi na wengine tusiomfahamu vyema tupate kumfahamu vyema.
1 Reactions
76 Replies
35K Views
Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais. Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie. ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46 Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ndio ujumbe waliousambaza kila mahali leo
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kuelewa kidogo kuhusu nyara za serikali
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Hii ndio sababu ya Mimi kuichukia siasa, na sitaki kuingia moja kwa moja katika siasa maana siko tayari kuishi kinafiki kama wafanyavyo wengine ili tu mkono uingie kinywani Wachunguze wanasiasa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA . Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona ===== Maandalizi yote yamekamilika ...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Chadema wamesema Kongamano la katiba siyo miongoni mwa mikusanyiko inayohitaji kuombewa kibali kwa mujibu wa sheria Chadema wamesema watachukua tahadhari zote dhidi ya Corona katika kongamano la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia kuteuliwa kwa Waziri wa Fedha, Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais, nafasi ya Waziri wa Fedha iko wazi. Je, ni nani atafaa kuvaa viatu vya Mh. Mpango kwenye Wizara yetu nyeti ya Fedha?
5 Reactions
311 Replies
33K Views
Back
Top Bottom