Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Biblia, kuhusiana na unywaji pombe inasema: Mit 31: 6 - 7 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena...
16 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwa kipindi sasa kuna tatizo sana kwenye ishu ya kuvuka Kigamboni. Kuna vijana ambao wanalazimisha watu kununua Kadi au kutumia Kadi kuvuka Kigamboni. Ni Jambo jema Ila the way linaendeshwa ndio...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Swala la tozo za simu limeingia mkenge. Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu! Aibu kwa Ndugai Aibu kwa...
22 Reactions
71 Replies
6K Views
Watanzania wenzangu unajua kunamambo huwa hayahitaji kutumia nguvu wala akili nyiiingi sana. Hebu tujifunze kua uweredi wa mafundi kinyozi huyu jamaa halipwi kulinganga na mashine yake kukaa sana...
1 Reactions
8 Replies
985 Views
Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania. Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi si mtu wa vyama vya siasa au muumini wake ila kwa alichoongea kaka yangu Mh freeman Mbowe sikiafiki moja kwa moja na wala sikipingi. Jana akiwa mwanza Mh.Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA MH...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia...
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Wameendelea kutovaa barakoa. Ni CHADEMA hawahawa walioishinikiza serikali ya awamu ya 5 itoe takwimu za kila siku za wagonjwa wa UVIKO-19. Ni CHADEMA hawahawa walioupinga msimamo wa jemedari...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Leo tar.19.07.2021 itabaki katika kumbukumbu za wanachadema hasa mwenyekiti wao Mbowe baada ya mapokeo hasi ya kauli yake ya kuitaka serikali itulazimishe kuchanjwa chanjo ya corona Kauli yake...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwigulu Nchemba kasema asiyetaka tozo ya miamala ahamie Burundi. Ni kwanini asiseme kuhamia nchi nyingine. Burundi kunani?
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Enzi hizo waliitwa washika mfuko wa hazina lakini siku hizi wanaitwa wahazini ambaye ni sawa tu na waziri wa fedha serikalini au hata Daruso au IFMSO. Kwenye vyama vya siasa wanaitwa Katibu wa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Jana, tarehe 19 Julai 2021, Mwenyekliti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, aliongea na waandishi wa habari mjini Mwanza. Katika kikao hicho Mbowe alilaani vikali uamuzi wa Jeshila Polisi mkoani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
. Ni mkweli . Sio mnafiki . Anasimamia ukweli . Ni mcha MUNGU . Hajipendekezi . Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi. Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Kaimu Postamata Mkuu Macrice Daniel Mbodo amewataka viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania kushirikiana na uongozi wa Shirika katika kuhakikisha wafanyakazi wanatimiza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wni wawakilishi wa wananchi ambao wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi. Hii ni tafsiri ya kikatiba lakini kiuhalisia hali ni tofauti. Niwakumbushe ndugu zangu kulikuwa na...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Vp Wadau, Katika serikali ya mapinduzi Zanzibar huwa nasikiaga makamu wa kwanza wa Rais,makamu wa pili wa Rais n.k Je, ni kwa nini wanaitwa hivyo makamu wa kwanza/pili wa Rais? Na mbona huku...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Madhara ya bunge (a) Kujaa wanaccm, (b) Kuwa chombo cha kuimba nyimbo za sifa badala ya chombo cha kuisimamia na kuikosoa serikali, .....yamedhihirika katika sakata la tozo za miamala. Rais...
22 Reactions
52 Replies
2K Views
Back
Top Bottom