PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 878
- 955
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bwana Macrice Daniel Mbodo Leo tarehe 17 Julai ,2021 amefanya kikao na Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania Bara na Zanzibar.
Bwana Mbodo ametumia nafasi hiyo kuelezea mkakati wa kukuza biashara za Shirika na mpango wa mwaka 2021/2022 pia amewaeleza mwelekeo wa utendaji katika kipindi hiki Cha dijitali na Namna ya kujipanga kiutekelezaji.
Kikao hicho kimefanyika
Ukumbi wa Bodi, Posta house, jijini Dar es Salaam.