Duh, bonge la demotionKamishna wa Polisi Chagonja ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi!!
Rais pia amemteua Kamishna wa Polisi Clowding Mtweve kuwa katibu tawala wa Mkoa wa Mwanza!!
Source: EATV
magu sio mdini kabisa!
Hata mie ninayejua majukumu ya RAS napata mashaka sana kama kweli huyu Chagonja tunaye mfahamu ndiye anapewa majukumu hayo.Taratiiibu naona Magufuli akikosa mwelekeo!!
Ilikuwa njia ya kuwaondoa jeshi la polisi ili ateue wengine wa kwendana na falsafa yake.Duh, bonge la demotion
Hapa wa kilaumiwa ni Katibu mkuu kiongozi Sefue!Hata mie ninayejua majukumu ya RAS napata mashaka sana kama kweli huyu Chagonja tunaye mfahamu ndiye anapewa majukumu hayo.
Hivi kweli hawa washauri wa Magu wana nia gani naye? Na jee ni walewale wa mkwere au amebadili na kuweka wakwake?
Hizi nafasi za washauri wa President ni vema wakawa wanajulikana wazi kwani kazi hiyo ni muhimu sana