Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuja na hii mada kwa makusudi mawili, moja kuwapa angalizo watanzania wenzangu na pili kujiandaa kwa mengi na makubwa yatakayofuata hapa Tanzania. Kwa sasa sio siri tena, matazamio ya...
45 Reactions
128 Replies
12K Views
Tuseme tu kuwa watanzania na majirani zetu na dunia kwa ujumla kuwa tumepigwa na sindano ya ganzi . Kusomewa aina ya mashitaka kwa mh Mbowe ni sawa na sindano ya ganzi kwa wapenda Amani na...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Kitu pekee Mwl Nyerere alikosea na nadhani anajutia hata huko aliko ni kuipa nguvu sana CCM Chama kimekuwa na nguvu sana kuiongoza serikali, na ni Chama hiki hiki chenye wanachama wengi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na nguvu kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kuhusu kukumatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa tuhuma za ugaidi nchini Tanzania. Vyombo vya habari vya nje mfano BBC...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Vipi, mbona zimeingizwa kinyemela sana? Wamesubiri wakati ambapo sakata la sabaya limekolea na wao wakachomekeamo na chanjo humo humo! Kama chanjo ni kitu chema, mbona wanakificha ndani ya...
5 Reactions
164 Replies
13K Views
Japo ukweli unabaki wewe mwenyewe ndio unawajibika kwa afya yako, hivyo wewe ndio muamuzi wa jambo lolote kuhusiana na afya yako na wala mtu mwingine asikuchagulie linalohusiana na afya yako...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana bodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mashtaka ya ugaidi yanayo mkabili. Je, uanaharakati tunaoushuhudia haswa kutoka kwa wapinzani unaweza...
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Simon Kanguye amepotea tangu Julai 24, Kamanda wa Polisi Kigoma, Ferdinand Mtui asema. ----- Familia yamlilia Familia ya mwenyekiti wa...
2 Reactions
68 Replies
18K Views
Arusha. Shahidi wa tano wa Jamuhuri katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Seleman Kassim Msuya (36) ameileza mahakama kuwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wamelaani kukamatwa kwa Freeman Mbowe na wenzake na kulitaka Jeshi la Polisi kuwaachia bila masharti yoyote.
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Wabunge wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, wameshawasili katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo asubuhi saa 2. Wabunge hao wanafika...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Viongozi wa umoja wa dini mbalimbali umesema msimamo wao katika mapambano ya ugonjwa wa Covid-19 ni kusikiliza sauti za wataalamu na wanasayansi ikiwemo maamuzi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZIRI MKUU WA TANZANIA, NDUGU. KASSIM MAJALIWA: HAKUNA MTU ALIYELAZIMISHWA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19. Awataka wananchi wapuuze upotoshwaji unaoendelea mitandaoni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona. Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Kesi ya Unyang'anyi wa kutumia Silaha namba 105/2021 inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, imeendelea katika mahakama ya hakimu Mkazi Arusha ambapo...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na...
9 Reactions
64 Replies
6K Views
Kuna kesi kadhaa zinaendelea mahakama kadhaa nchini (Dar, Kilimanjaro, Iringa etc) kisa wahusika eti ‘hawakuwa na leseni ya Online TV’. Huu ni uonevu uliotoka awamu iliyopita na inaonekana...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom