Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha. Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo. 1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba...
18 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanabodi, Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu. Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Siyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha Kitaifa wala Kimataifa. Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, amerejesha jumla ya Sh milioni 85,463,848 ambazo Wananchi mbalimbali waliporwa na watu au taasisi mbalimbali kinyume cha sheria, hivyo ofisi yake...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu chanjo ya Corona katika nchi nyingi za Afrika. Baadhi ya viongozi wa dini wamedai chanjo hiyo inalenga kupunguza idadi ya watu weusi kwa kuwazuia kuzaliana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ibara ya 13(6)(a-e) imeeleza wazi uhumimu wa haki ya kila mtu anayetuhumiwa kufanya makosa kutendewa haki mbele ya mahakama na vyombo vya usalama. Haki hizi ni pamoja na kutopata mateso kwa...
3 Reactions
5 Replies
903 Views
Mwendazake Rais John P. Magufuli alikuwa na sifa moja nzuri kwa kiongozi yeyote. Kusimamia utekelezaji wa kile alichoamini na kukiamua bila kujali matokeo yake yaani yawe wazuri au mabaya, hasi...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Mr. William Erio ambaye leo ameondolewa katika Cheo cha Mkurugenzi Mkuu NSSF si jina geni. Amekuwa katika cheo kikubwa cha Mkurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa muda mrefu toka mwaka 2002...
19 Reactions
168 Replies
30K Views
Naona Wazanzibari wanalilia vitu vya ovyo ovyo ambavyo haviwezi kuwasaidia kama uanachama FIFA n.k But sisikii Wazanzibari wakisema wanataka wawe na stock exchange ya kwao Zanzibar, why? Stock...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO 19 - VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI WATAKIWA KUENDELEA KUISAIDIA SERIKALI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo amewasihi Viongozi wa Dini kuendelea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi. Kuna vitu wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo. Tozo mmeziweka wenyewe bila...
25 Reactions
84 Replies
5K Views
Sijui nyie wengine mnaonaje lakini mimi naona kama vile Rais Magufuli kazidi kufanya ufunguzi au uzinduzi wa vitu! Mara kaenda kule kuzindua kijitawi cha benki, mara kaenda huko kuzindua ujenzi...
22 Reactions
113 Replies
10K Views
Leo wakati wa hotuba yake baada ya kuapisha mabalozi Mh Rais alijaribu kuhusiana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini , jambo ambalo linaonekana wazi kuwa litaleta athari sana katika suala letu la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natoa pendekezo... Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana. Napendekeza 2025 ndo awe mgombea wa urais kupitia CHADEMA. Naamini akigombea kwa platform ya kumshitaki Rais Magufuli huko The...
31 Reactions
80 Replies
7K Views
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona. Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi...
21 Reactions
116 Replies
9K Views
Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini. Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Ok, so, me being me. The independent minded guy that I am. Native citizen of Realville. That straight shooter that I am. I am no shrinking violet when it comes to expressing my views. So I’m...
31 Reactions
216 Replies
13K Views
Nimesikiliza kwa umakini sana juu ya mambo aliyoyasema mchungaji Gwajima. Nina maswali machache sana juu ya nadharia yake juu ya korona na namna alivyosema na kuaminisha watu: 1. Yeye ni...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Pita sehemu mbalimbali hapa Tanzania ambako kuna ulazima wa kuvaa barakoa. Kisha angalia idadi ya watu waliovaa barakoa kwa hiari yao. Ni wachache sana. Ukiangalia makanisani, misikitini, viwanja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom