KUBADILIKA KWA KATIBA INCHINi.... Is it a Guatantee for a Better Tanzania?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUBADILIKA KWA KATIBA INCHINi.... Is it a Guatantee for a Better Tanzania??

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by AshaDii, Dec 10, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Habari wana JF na Watanzania kwa Ujumla.

  Kama ilivo wazi kwa wadau na wanaharakati wa Siasa hapa inchini, Moja ya eneo of Great interest katika Masuala ya Siasa ni kubadilishwa/kurekebishwa kwa Katiba. Kwa ufupi katiba ni Moja ya kiungo muhimu katika kuendesha shughuli kiufanisi hasa zinazogusa kundi la watu kwa mapana katika nyanja zote husika ili kuweza fikisha lengo kuu la hicho chombo kwa maslahi ya Wahusika (hicho chombo kiwe shirika/kundi/Chama/Serkali n.k). Kwa kuangalia angle moja wapo; Umuhimu wa Katiba na Umanufaa wake kwa Watanzania. Bila kujali ushabiki wa chama husika cha mtoa maoni. Kwa kutegemea michango na maoni yalo huru na kuzibwa/gubikwa na chuki dhidi ya Chama kingine... Hii hasa nikilenga wana CCM na CDM.


  Uzuri wa kuhusu katiba yetu ya hapa Tanzania ni kua walioweengi wanaelewa kua katiba ina Mapungufu makubwa ambayo inabidi yabadilike/rekebishwe kwa jinsi yoyote ile – hasa kama malengo ya hio katiba ni kuwagusa Watanzania wengi katika nyanja mbali mbali na kwa pamoja. Ingawa pia kuna upande wa pili wa shilingi... Na hio ni Ubaya. Ubaya kuhusu hio utambuzi wa hio katiba yetu ni kua katika hilo kundi la wengi waelewao na tunaokubali/kugombea/shabikia kwa nguvu zoote katiba ibadilishwe/rekebishwe ni wachache ambao kweli tunaelewa yale yalo ya Msingi katika (ki)Viini cha/vya Katiba hio ambacho(vo) huleta/changia Matatizo katika maeneo mbali mbali ya sasa kwa Mtanzania; hasa wa kawaida – ili kuweza kweli kua na katiba ambayo wengi wataikubali kua "Sasa yafaa"; na sio kukubali tu – bali pia ionekane kwamba kweli Katiba ipo kwa ajili ya kuwakilisha Watanzania pale kiutendaji.


  Interest yangu ipo kwa Wanaharakati na wadau wa Siasa na mawazo yao katika Suala zima la Kubadilishwa/rekebishwa; Taking note and baring in mind kwa kuacha pembeni kwanza blah blah za kusema kua kila Mtanzania ana haki na anatakiwa kushirikishwa ndipo katiba ibadilishwe.. (Ni maoni ya Msingi na Mazuri – likitatizwa na ukweli kua bado saana Wanachi kujua hasa nini kipo katika katiba, na nini/wapi hasa hupelekea/changia matatizo katika jamii). Hii inapelekea Uhalisia wa wazi kua tukitaka iwe hivo ndo zoezi liendeshwe baas siku/miezi/miaka yaweza katika kimzaha hivi hivi bila hio katiba kubadilishwa huku mamillioni/malaki ya pesa yakipotea bila efficiency wala end result ya kuridhisha katika jina la kukusanya maoni toka kwa wananchi.


  Sasa baas Maswali ya Msingi ambayo naamini wanaharakati na wadau wa Siasa wanauliza na kujiuliza pia ni kama; Watanzania wangapi wanajua Katiba ni nini? Wangapi wana utambuzi wa katiba kua ina husika/changia vipi katika kuendesha inchi? Wangapi walikua hata hawajui kua kuna katiba mpaka hapa karibuni ambapo kumekua na habari lukuki katika vyombo vya habari? Tukiachana na Mtanzania wa Kawaida wasomi wangapi hata wana interest na mambo ya Katiba? Katika idadi ya Wananchi ambao wanafuatilia na kutaka kujua hatima-ni wangapi wana mawazo huru ambayo hayajatokana tu na ushabiki bali kwa utambuzi wa kuijua katiba na kutaka ibadilishwe/rekebishwe kwa kuzingatia na kulenga maeneo husika katika katiba? Kua katiba isha wahi rekebishwa (na mara ngapi na kwa nini na kama hayo marekebisho yalileta mabadiliko tarajia)? Na maswali mengine kibao ya Msingi. Ukweli na Uhalisia wa maswali yoote haya katika haya hii ni kua ni Wachache.... Wachache mno. Sad but true.


  Kwa muktadha wa aya hii hapo ya juu; Swala la msingi linabaki kua kama ni Watanzania wachache mno wanaelewa na kutambua majibu ya Maswali haya... Je kuna Matumaini kweli kua kuja kwa Katiba mpya ama ilorekebishwa ndio itafanya Tanzania na watu wake Maisha yabadilike na kua bora zaidi; hivo kua na Tanzania mpya? Na kama jibu ni NDIO... How?  Pamoja Saana

  AshaDii.  .
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  AshaDii,
  1. kwanza, kama unavo sema hapo juu kuna vitu vingi vinatakiwa kubadilishwa. Kweli kuwa wote 100% happy na katiba mpya ila ikiwa hata 70% watafurahia inatosha kwa kuanzia.
  2. Wasi wasi wako wa watu kuelewa/kutoelewa katiba sio hoja sana (kwangu) sababu tukiangalia kenya, wakati wa bita ya machungwa na mandizi (the oranges being O in NO na the banana being the ticking signs that means YES) kila chama na kilijitahidi kuwaeleza wananchi maana ya katiba na matokeo yake katika maisha ya kila siku. It is a tough campaign. Kwa maoni yangu uchaguzi huu ni even more democratic than uchaguzi wa mabunge na raia sababu ideas and impacts are discussed, unlike on presidential and parliament where we don't even talk about project anymore, imekua chama, dini na sometimes kabila...
  3. Most important: the best costitution ni useless kama hakuna a political will to improve on people's life. Kwa kweli iwe left or right, sijaona a strong determination kumuweka mwananchi at the center of all development and progress initiatives. Kwa sasa watu wako focussed kutupiana makosa, kuchafuana na kujitetea. Ukiuliza maendeleo unapewa ripoti za namba na figures, ila huoni mtanzania akifaidi matokeo chanya ya maendeleo hayo.
  Kwa kifupi ni lazima katiba ibadilishwe, na watu watajua tu ni kitu gani wanakubali/kataa. Ila ni muhimu sana politicians waweke watu mbele. Katiba ni kifaa cha kazi na kkitamfanyia kazi atakayo itumia, kwa purpose atakayo tumia.
   
 3. n

  nomasana JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 60
  Kenya has been transformed for the better by the new constitution. i would never have imagined public officials being vetted on live TV. having a well written and implemented constitution will drastically change bongo forever and for the better! just ask the president what happened when he tried to appoint chief justice and attorney general without following the new law. now the judiciary and the electoral body are trully independent

  having a well written and implemented constitution will drastically change bongo forever and for the better. as a Kenyan i can testify to that.
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  ....couldn't agree more with you. Thanks
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  AShaDii,

  I have gone through the thread ...! i FIND IT VERY COOL .. You know what?

  Reminds me the other threads ... With almost the same skeleton and structure ... I don' remember the exactly words ...

  BUT

  The discussion was ... kama chama kinachotawala kikiondoka madarakani na Nchi kutawaliwa na chama cha upinzania ... Ni MABADILIKO hayo yangemsaidia Mwanachi na kuleta maendeleo amabya sasa hayapo kabisa au isingekuwa na manufaa ya kina kwa jamii!!

  What in all this is ... like you want to focus in real CAUSE of the problems and not the EFFECTS ...!

  Taking us away from duality of things and focus in singularity ... The real cause ...!

  Is it Katiba ya zamani au katiba ya sasa ... The real and ROOT cause of our Problems ... or Its something else?

  IMO ...Its something else ... Its no really the the new Katiba!! Its something else ...Then come new Katiba mpya!!

  Yes!! What is that SOMETHING ELSE?
   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Binafsi siamini kuwa duniani mambo yako kirahisi hivyo! ... Is Just like celebrating a free LUNCH!!

  Kwamba just replace the old with new constitution and we have the Tanzania turned into heaven ...The Tanzania we want!!

  Kweli katiba mpya inaweza kuleta changamoto mpya nk!! Lakini hilo ndilo Tatizo la Msingi!?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  AJ nimekimbia huu uzi unadai my whole concetration na lately i was So busy, Kuanzia hapo kwa Roulette nina Maswali lukuki na Comments kede kede....

  I will be back in a day or two....
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Nani kakuambia "better" ends at the appointment of officials?? Better should the least be reflected in what is happening in the kitchen. watu wanalala njaa we unasema Kenya is better sababu ya procedures za kuchagua viongozi.

  kweli binaadamu hatujui tunachokitaka
   
 9. Anna Mghwira

  Anna Mghwira Verified User

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 80
  Kweli better should go beyond appointment of officials, indeed such appointments in our context do not hold much water, however the new constitution could enhance better use of positions to result into productivity that can ensure bread to everyone, so 8etter to have the new law than not!
   
Loading...