#COVID19 Corona: Bila Barakoa Dar, Hupandi hata Daladala

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,502
2,000
Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya.Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko.

Hili si ombi bali rasmi ni lazima.

-----
My take:

Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole tutaelewana tu.
 
Mbekenga

JF-Expert Member
Jun 14, 2010
1,741
2,000
Basi mleta uzi kesho asubuhi tupigie picha tuone utekelezaji wake mbagala-rangitatu.
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,243
2,000
Dah Hesabu ishashuka tena kwa mata nyingine tena... Daladala tunateseka sana tumetoka mwezi wa ukaguzi wa ajabu ajabu wametupotezea sana muda na hesabu sasa tunaingia kwenye level seat... sijui niyapaki tu.. Gari kubwa leval seat kutoka kawe hadi mbagala italipaje yaani hesabu unaipataje kwa mfano Mafuta bei vipuri bei nauli ile ile miaka yote ? ndio maana mzee mpili alisema kha!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,300
2,000
Vipi kuhusu wasafiri wa mabasi ná treni waendao mikoani Mkuu!? Hawa hawatakiwi kuvaa barakoa?
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,502
2,000
Dah Hesabu ishashuka tena kwa mata nyingine tena... Daladala tunateseka sana tumetoka mwezi wa ukaguzi wa ajabu ajabu wametupotezea sana muda na hesabu sasa tunaingia kwenye level seat... sijui niyapaki tu.. Gari kubwa leval seat kutoka kawe hadi mbagala italipaje yaani hesabu unaipataje kwa mfano Mafuta bei vipuri bei nauli ile ile miaka yote ? ndio maana mzee mpili alisema kha!

Bado kodi na tozo mbalimbali juu ndani ya janga hili:

IMG_20210726_014752_451.jpg

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,252
2,000
Dah Hesabu ishashuka tena kwa mata nyingine tena... Daladala tunateseka sana tumetoka mwezi wa ukaguzi wa ajabu ajabu wametupotezea sana muda na hesabu sasa tunaingia kwenye level seat... sijui niyapaki tu.. Gari kubwa leval seat kutoka kawe hadi mbagala italipaje yaani hesabu unaipataje kwa mfano Mafuta bei vipuri bei nauli ile ile miaka yote ? ndio maana mzee mpili alisema kha!
Hesabu ya gari Kwa siku n Shi ngapi?
 
datz

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
810
1,000
Mnatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha corona ipo.

Mtafanyaje na mshachukua cha watu mpo kama malaya aliyekunywa bia za mtu akatae kwenda kuvua chupi.

Mama prezda sina cha kukufanya ila nina uwezo wa kukuambia neno moja "KMMK"
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,502
2,000
Mnatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha corona ipo.

Mtafanyaje na mshachukua cha watu mpo kama malaya aliyekunywa bia za mtu akatae kwenda kuvua chupi.

Mama prezda sina cha kukufanya ila nina uwezo wa kukuambia neno moja "KMMK"

IMG_20210726_225257_224.jpg
 
TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
1,470
2,000
Yaani hii nchi ya kipumbavu sana yaani mashindano ya olimpiki tumepeleka wanamichezo hawazidi hata kumi..kudadeki yaan vitu rahisi kama hivyo navyo tunashindwa,nadhani hii nchi ni ya hovyo kuliko zote hapa duniani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom