Tutafakari juu ya hili

Tutafakari juu ya hili

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,573
Reaction score
164,444
Yaani Mama unaridhia ushauri uliopewa na wanaokusaidia kazi na kisha unatoa baraka zako utekelezaji uanze.

Baada ya hapo, unakaa unatulia na unaridhika kabisa kuona yanayoendelea huku ukijua wazi ni uonevu mkubwa.

Halafu ikifika siku ya Ibada, huyo msikitini unakwenda kusali na usiku unapata usingizi murua kabisa!

Watekelezaji
Hawa nao baada ya kupata baraka, wanaitisha kikao wanajadili namna ya kutekeleza mpango wao huku wakiju kabisa ni wa kutunga na ni wa uonevu mtupu!

Watu wazima hawa na mavitambi yao na manyota yao mabegani, wanaridhika kabisa kupanga uharamia huku ma-V8 yanawasubiri na wakimaliza hao wanaondoka wakiwakabidhi vijana mpango haramu wa kutekeleza.

Halafu siku za Ibada watu hawa wanabeba vitabu vitakatifu huku wakikaa katika viti/mabenchi ya mbele eti wanaenda kusali!

Ikitokea harambee ya kuchangia kanisa/ msikiti au mnada makanisani kwa lengo la kukusanya fedha, basi wao ndio hujitoa zaidi na watu wanawapa credit!

Nimemkumbuka na yule ambae aliekuwa akiingia kanisani, hujifanya mcha Mungu huku akihakikisha anapewa mic aongee na kujifanya mnyenyekevu mbele za Mungu kumbe nyuma ya pazia ni katili kupindukia(bora kaenda).

Hakika mambo mengine yataka moyo jamani!!!
 
Kwa hiyo unamsimanga Mama asiwe anaenda ibadani ili afunuliwe zaidi kuwapata Magaidi
 
Mkuu tatizo chama chao kimepoteza ushawishi wa kisiasa, hivyo matumizi ya mabavu ndio njia pekee salama kwao. Huyo Mungu wanaigiza kumuabudu ili kuwakoga watawaliwa, lakini hawana hofu yoyote, na Mungu wao wa kweli ni hayo madaraka yanayowapa mlo.
 
Wana roho za kinyama hawa watu sawa na jambazi anaevamia nyumba ya mtu na kuua apate mali/fedha au yule anaemkata kiuongo Albino apate cheo au mambo yake yaende vizuri.
 
Kama wako madarakani kwa wizi wa kura, usitegemee wakubali mabadiliko maana wanahisi mabadiliko yakija wataishia gerezani. Wanaona kama wao wanabambikizia wengine mashitaka, wao wakitoka si makosa yao halali wataishia jela jumla? Hivyo wanafanya unyama wote ili wasiishie jela.
 
Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.
Wewe baba yako bora angepiga punyeto au mama yako bora angefanya abortion
 
Makelele mengi kushikiliwa kwa mbowe nadhani kuna kitu mnaficha kwenye mauaji ya viongozi wa serikali hata wewe hapo mwisho umesema BORA KAENDA. UNAUJUA MPANGO WA MAUAJI
 
Kwa sasa Isreali hahusiki na vifo vya viongozi, jumba bovu kaangushiwa mbowe, hii dunia jamani?
 
Yaani Mama unaridhia ushauri uliopewa na wanaokusaidia kazi na kisha unatoa baraka zako utekelezaji uanze.

Baada ya hapo, unakaa unatulia na unaridhika kabisa kuona yanayoendelea huku ukijua wazi ni uonevu mkubwa.

Halafu ikifika siku ya Ibada, huyo msikitini unakwenda kusali na usiku unapata usingizi murua kabisa!

Watekelezaji
Hawa nao baada ya kupata baraka, wanaitisha kikao wanajadili namna ya kutekeleza mpango wao huku wakiju kabisa ni wa kutunga na ni wa uonevu mtupu!

Watu wazima hawa na mavitambi yao na manyota yao mabegani, wanaridhika kabisa kupanga uharamia huku ma-V8 yanawasubiri na wakimaliza hao wanaondoka wakiwakabidhi vijana mpango haramu wa kutekeleza.

Halafu siku za Ibada watu hawa wanabeba vitabu vitakatifu huku wakikaa katika viti/mabenchi ya mbele eti wanaenda kusali!

Ikitokea harambee ya kuchangia kanisa/ msikiti au mnada makanisani kwa lengo la kukusanya fedha, basi wao ndio hujitoa zaidi na watu wanawapa credit!

Nimemkumbuka na yule ambae aliekuwa akiingia kanisani, hujifanya mcha Mungu huku akihakikisha anapewa mic aongee na kujifanya mnyenyekevu mbele za Mungu kumbe nyuma ya pazia ni katili kupindukia(bora kaenda).

Hakika mambo mengine yataka moyo jamani!!!
Hakika moto utatuhusu wengi baada ya maisha ya duniani.
 
Back
Top Bottom