#COVID19 RC Mtaka: Usifanye siasa kwenye chanjo; uhai wako sio mali ya Kanisa, Serikali au Msikiti

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
"Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka

 

EngutanK

Member
May 3, 2021
60
150
Chanjo- vaccine
Kuchanja- vaccination
Tangu koloni tunachanja chanjo za magonjwa mbalimbali
nilipo hapa nimechanja - ndui
- Surua
- Pepopinda
kifuaduro
- polio
Sasa corona kuchanjwa kwa nini iwe Nongwa?

Chanjo zote hapo juu zimetoka ughaibuni kwa nini sasa hii ya CORONA iwe ni tabu

Ikija ukitaka kachanje kama hutaki acha
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,181
2,000
Kwani waliochanjwa hawapati korona??
... wanapata Corona kama kawaida ila ikitokea imegeuka COVID-19 madhara yake yanakuwa madogo tofauti na ambaye hajachanjwa. Na ndio maana pamoja na kuchanjwa, wanatakiwa kuendelea kuzingatia kanuni za kujikinga kama kunawa, kusanitaizi, kuvaa barakoa, n.k. ili kwanza, wasiambukizwe na pili, wasiambukize wengine. Falsafa ya Covax ndio hiyo.
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,038
2,000
Kwa hiyo uhai wa binadamu unakuwa determined na kuchanja dawa ya majaribio ya korona, hakuna mtu anayemiliki uhai wake zaidi ya Mungu kuamua kwamba unaishi au unakufa....
 

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
853
1,000
Chanjo- vaccine
Kuchanja- vaccination
Tangu koloni tunachanja chanjo za magonjwa mbalimbali
nilipo hapa nimechanja - ndui
- Surua
- Pepopinda
kifuaduro
- polio
Sasa corona kuchanjwa kwa nini iwe Nongwa?

Chanjo zote hapo juu zimetoka ughaibuni kwa nini sasa hii ya CORONA iwe ni tabu

Ikija ukitaka kachanje kama hutaki acha
Bado chango za waganga wa kienyeji mwiliza
 

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
17,767
2,000
Chanjo zote hapo juu zimetoka ughaibuni kwa nini sasa hii ya CORONA iwe ni tabu
Hizo za juu uelewa wetu ulikuwa mdogo wa maduala haya. Pia kipindi kile walikuwa bado wana hitaji nguvu zetu . Kwa mabadiliko ya teknolojia uelewa wetu wa mambo haya umeongezeka sana na nguvu zetu hawazihitaji tena kama zamani(jokes). Majibu hayakosekani . Ha ha haaa!
 

Ngwanashigi Gagaga

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
417
500
Chanjo- vaccine
Kuchanja- vaccination
Tangu koloni tunachanja chanjo za magonjwa mbalimbali
nilipo hapa nimechanja - ndui
- Surua
- Pepopinda
kifuaduro
- polio
Sasa corona kuchanjwa kwa nini iwe Nongwa?

Chanjo zote hapo juu zimetoka ughaibuni kwa nini sasa hii ya CORONA iwe ni tabu

Ikija ukitaka kachanje kama hutaki acha
Umesema vyema mkuu!
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,608
2,000
Chanjo- vaccine
Kuchanja- vaccination
Tangu koloni tunachanja chanjo za magonjwa mbalimbali
nilipo hapa nimechanja - ndui
- Surua
- Pepopinda
kifuaduro
- polio
Sasa corona kuchanjwa kwa nini iwe Nongwa?

Chanjo zote hapo juu zimetoka ughaibuni kwa nini sasa hii ya CORONA iwe ni tabu

Ikija ukitaka kachanje kama hutaki acha
Sitaki wala usinipangie! Chanjo zote ulizozitaja hakuna hata moja ambayo nilitakiwa kusaini kwanza ndiyo nichanjwe! Pia chanjo zote ulizozitaja hakuna hata moja ambayo ukichanja unaweza kuambukizwa tena ndani ya kipindi ambacho chanjo ililengwa ikukinge! Hii ya sasa haina sifa ya chanjo hata moja! Unachanjwa halafu unaweza kuambukizwa, kuambukiza, kuugua na kulazwa na hata kufa!! Hii chanjo unayoipigia debe bure( wenzio wanaoipigia debe wamelipwa) ni wizi mtupu! Taifa linaingia gharama kubwa kwa kitu kisichoweza kutukinga! Sichanjwi kama alama ya uzalendo kwa nchi yangu ili isitumie pesa bure bila faida! There is no value for money for this fake vaccine which has totally different purpose! Soma bandiko hili:

Ukifungua link hiyo juu utajiridhisha kuwa hii chanjo ni usanii mtupu!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom