Wanaodai katiba mpya wasikilizwe, wasiitwe magaidi

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,476
2,651
Wasalaam.

Kama taifa tutafakari ugaidi uliotokea Tanzania ukiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe ambae yupo jela kwa tuhuma zinazomkabili za ugaidi. Ni vema kujua maana halisi ya ugaidi wakati tunaendelea kutafakari maana inaoyesha hata police wetu hawajui ugaidi ni nini.

Ugaidi ni mfumo wa kisiasa na kiharakati unaolenga kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi. Mpaka hapa unaweza kujiuliza kati ya CCM na police na Mbowe ni nani gaidi ukapata jibu.

Mara nyingi si rahisi kutofautisha kati ya magaidi na wapinzani wa uhuru au watu wanaoendesha vita msituni, Hata majeshi ya serikali yanaweza kutumia mbinu za magaidi lakini hawahesabiki kama magaidi. Kuna mifano michache ya matendo ya ugaidi duniani kama:
1. Aug 9. 1998 kundi la kigaidi la alqueda lililipua balozi za marekani tanzania na kenya na kuuwa watu 223 na majeruhi zaidi ya 400. Magaidi wale walifanya vile kupinga matendo ya marekani somalia na lengo lilikua kutisha serekali ya marekani.
2. Sept 11. 2001 osama bin ladeni aliliongoza kundi la alqueda kufanya mashambulizi 4 kwa mara moja hasa katika kituo cha biashara na kuuwa mamia ya watu.

Hapa kwetu wiki iliopita kakamatwa mh mbowe na kushitakiwa kwa makosa ya ugaidi lengo likiwa kuwatisha wale wote wenye lengo la kupigania katiba mpya. Ukiangalia ugaidi na dhana yake je ni lipi kosa la ugaidi waliofanya chadema? Kama police wanaweza kunasa magaidi inakuwaje mpaka leo wameshindwa kuwanasa watu wasiojulikana waliolenga kufanya mauji ya mh lissu?

Hitimisho, tanzania ni taifa la watanzania ni si mali mali ya mtu wala ccm tusiporane fito. Wanaodai katiba mpya wasikilizwe wasiitwe magaidi maana hata mh kikwete aliwahi sema 'hoja haipigwi nyundo bali inajibiwa kwa hoja ilio bora zaidi'.
 
Kudai Katiba Mpya si kigezo cha kutoweza kuingia kwny Tuhuma za Ugaidi

Tuvute subira tujue tuhuma zenyewe kwa ukamilifu wake na jinsi atavyojitetea, kila kitu kitawekwa hadharan
 
JamiiForums1550718452.jpg
 
Ni TANZANIA wananchi Wanapodai HAKI zao Kwa Mujibu wa Sheria Huitwa Wasaliti Nchi ya AJABU kupata Kutokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom