Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

chinembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
6,008
2,000
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.

Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala wa wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.

Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.

Kimkakati na kikabila alitaka chadema ijiimarishe usukumani kwa kuanzishia harakati huko ili akija kuomba urais akute angalau njia nyeupe.

CCM iondoe watu was aina hii katika mifumo yake ya siasa,afukuzwe haraka huyu NDULI GWAJIMA
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,967
2,000
Hapo shida inayolengwa ni vile Askofu alisema kitu kuhusu ^Chanjo ya Mwendokasi!!!^ :)

BTW: Kama makada kindakindaki na nguli wa vyama vingine vya siasa walipokelewa na kukubaliwa Sisiemu, wakapewa na vyeo, kwa nini isiwe Askofu huyu msomi, ambaye kwa kweli yuko huru kutojifungamanisha na upande wowote wenye ufa!???

Kila mtu anakumbuka mwaka jana kwenye mkutano wa Sisiemu Chamwino, mjumbe mmoja alihoji kwa nini ^wageni^ wakiingia Sisiemu wanapewa vyeo ilhali makada wa muda mrefu wanaachwa benchi!??? Jibu la mwenyekiti JPM kwa huyo mjumbe linafaa sana tu kunukuliwa alivyomjibu :) :) :)
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
36,656

Halafu hoja zake hajibiwi badala yake wanampa mipasho.

Wale uvccm akili sijui wamepeleka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,967
2,000
Halafu hoja zake hajibiwi badala yake wanampa mipasho.

Wale uvccm akili sijui wamepeleka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba wameimba sana ileeeeee mwezi wa nne, tano na sita kwamba wanamwamini Bi Mkubwa. Sasa hata akiwaangusha mavumbini na majivuni, wao wanaoona wako kwenye godoro la sufu.

Kwa mtazamo pindu kama huo, lazima tu watafute kwingine pa kusingizia kasoro zinazojitokeza. Aliyesema ^Mtanikumbuka,^ ni kana kwamba alinena kwa kinywa cha malaika wa Firdausi!!!
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
36,656
2,000
Tatizo ni kwamba wameimba sana ileeeeee mwezi wa nne, tano na sita kwamba wanamwamini Bi Mkubwa. Sasa hata akiwaangusha mavumbini na majivuni, wao wanaoona wako kwenye godoro la sufu. Kwa mtazamo pindu kama huo, lazima tu watafute kwingine pa kusingizia kasoro zinazojitokeza. Aliyesema ^Mtanikumbuka,^ ni kana kwamba alinena kwa kinywa cha malaika wa Firdausi!!!

Yaani kwa jinsi wanavyojikanyaga sasahivi,yule mzee angeweza kuibuka hata kwa dk2 aone yanayoendelea angelia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
2,767
2,000
Ni mtanzania mjibuni kwa hoja mbumbumbu nyie. Huyo Mama yenu kahongwa mnasueni kwenye hiyo tuhuma vinginevyo Gwajima tunamwamini mno na hatuchanjwi mbwa nyie
Jiandae, hii inakuja huku pia, nyie vibwetere mkitoka nje mtakuwa mnakula rungu za kutosha..
filipino.jpg
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,755
2,000
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake...
Majungu yatakua,sio vizuri mwanaume kua na majungu
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,830
2,000
Tatizo ni kwamba wameimba sana ileeeeee mwezi wa nne, tano na sita kwamba wanamwamini Bi Mkubwa. Sasa hata akiwaangusha mavumbini na majivuni, wao wanaoona wako kwenye godoro la sufu. Kwa mtazamo pindu kama huo, lazima tu watafute kwingine pa kusingizia kasoro zinazojitokeza. Aliyesema ^Mtanikumbuka,^ ni kana kwamba alinena kwa kinywa cha malaika wa Firdausi!!!
Linamkumbuka genge

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
nizakale

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
2,265
2,000
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake...
Ukome kuwahusisha wasukuma katika mambo yako, nani aliyekudanganya kwamba CCM ni ya wasukuma tu ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom