Wakati mjadala juu ya ubora wa elimu hapa nchini ukishika kasi kila kukicha, swala la sheria/kanuni za mitihani katika vyuo vikuu vyetu hapa nchini linaonekana kusahaulika kabisa au kutopewa uzito...
Rais wa Jamhuri wa Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa, kufuatia utawala wake kugubikwa na mambo matano...
Ndugu wanajukwaa
Nimejaribu kuwaza aina ya mawazo na fikra za baadhi ya viongozi na raia walizonazo kwenye karne ya 21 , zikanipa shida kidogo
Najiuliza Kama wangeishi zama za milipuko ya...
Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae.
Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na...
Jana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.
Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na...
Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote...
CHADEMA WAZIDI KUVURUGANA VIJANA WA CHASO IRINGA NAO WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA KATIBA MPYA.
Katika hali isiyo ya kawaida vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa...
Kama tunatamani nchi hii iwe na magaidi, basi Mungu atatupatia tunachokiomba na ikiwezekana iwe soon ili tuone ubaya wa kamanda Mbowe kwa vitendo.
Wenzetu walionja gharama za magaidi na ugaidi...
Tangu Rais atangaze kuruhusu chanjo kuingia nchini limeibuka wimbi la mchanganyiko wa mitazamo juu ya ubora na uthabiti wa chanjo yenyewe
Watanzania wengi ni Kama hawajaridhika na yanayosemwa juu...
Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo.
Sababu zake kuu ni kwamba hao...
Uvumilivu wa kisiasa ni miongoni mwa kanuni kuu katika dhana ya demokrasia. Hata hivyo katika jamii yetu bado tunahitaji kuukubali ukweli huu ili kuwa na demokrasia yenye kuchochea utawala bora...
Hizi ndizo sababu za wanasiasa wengi kuidai katiba mpya/ kuipinga
Ni wazi na kweli kabisa kwamba watu wengi hususan wanasiasa, wamekuwa wakiidai katiba mpya ya tanzania kwa nguvu zote.
Hata...
Sabaya analaumiwa na wananchi namna alivyokuwa akitumia mbinu za kubambikizia watu makosa ya uongo ili apate anachokitaka.
Wakati mwingine alikuwa tayari hata kublackmail watu kwa kuwapandikizia...
Diwani wa CCM kata ya Luduga wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe, Hassan Ngella amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mbeya baada ya kuugua ghafla.
Katibu...
Hizi tuhuma zinaenezwa sana kupitia mitandao ya kijamii. Hii mitandao ya kijamii ina nguvu sana maana ndio source of information.
Wanaoeneza hizi tuhuma wameenda mbali na kudai kuda hata hawa...
Nimeona taarifa ya wizara kua chanjo itaanza kutolewa Agost 3
Nashauri Serikali yetu pendwa chini ya Rais samia, wahakikishe kwenye vituo vya chanjo kuna Chakula
Napendekeza Pilau na nyama...
DC TEMEKE AKUTANA NA BARAZA LA WAZEE
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa. Jokate Mwegelo amefanya kikao kifupi na Baraza la Wazee Wilayani hapo. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa...
Imeelezwa mara nyingi kuwatofautisha wajumbe JF na vyama vya siasa.
Kama ilivyo kwa vyama vingine, CHADEMA ni taasisi kubwa yenye kuendesha shughuli zake rasmi ofisini na siyo mitandaoni chini ya...
Kama kuna siku ambayo Rais Dkt. Magufuli amenifurahisha na kuzidi kunifanya nimpende, nimkubali na nimwamini sana huku nikimuhifadhia Kura yangu Kwake mwaka 2020 ni Kitendo chake cha ' Kukiri '...
Kuna tetesi kuwa Magufuli na Kagame hawakukutana barabarani uhusiano wao inasemekana waweze kuwa ni udugu wa damu!
Kwa asili Magufuli Pombe Joseph ni mtu anayetoka Kanda ya Ziwa maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.