Magufuli ni wa kawaida sana

Magufuli ni wa kawaida sana

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,116
Reaction score
4,773
Tanzania kama nchi tuna tatizo kubwa. Kwa vile ubabaishaji,uzembe, ufisadi na uovu mwingine kama huko umezoeleka mno,nasi akitokea kiongozi anayetekeleza majukumu kama yalivyotanabaishwa katika duties&responsibilities au person specifications za wadhifa husika, anaonekana kama malaika.

Na hiki ndo kinachotokea sasa: Magufuli kuonekana kama mchapakazi hodari atakayeweza kuinusuru Tanzania yetu. Hatuwaoni madaktari/manesi kuwa wachapakazi hodari kwa kutimiza majukumu ya kazi zao na kuokoa maisha yetu, wala hatuwaoni walimu wachapakazi hodari kwa kufika mashuleni na kufundisha (tena Mara nyingi katika mazingira magumu) lakini Magufuli akifanya japo robo ya kazi anayolipwa mshahara mnono kuitekeleza, anaonekana kama malaika.

Ni kwamba tunatarajia ubabaishaji, uzembe,ufisadi,nk kiasi kwamba kuwajibika ambako ni wajibu kwaonekana muujiza.

In fact, the so-called uchapakazi wa Magufuli ni ku-meet expectations za mwajiri wake, ambaye essentially ni wewe mlipa kodi. Lakini expectations sio exceptions. Twawajua wanasiasa wachache tunaoweza kuwaita exceptional, na Magufuli si mmoja wao, unless tushushe bar na kumpima kwa lens ya ubabaishaji,uzembe na ufisadi ambao ndo trademark ya wanasiasa wa CCM.

Je Magufuli ana courage ya kumbana Riz na washirika wake wanaoibaka Tanzania yetu day in day out? I don't think so. And by the way, urafiki wake na JK waweza kumfanya Jk akabaki 'Rais by proxy', akaongoza nchi kwa remote control, akawa de-facto president kama walivyokuwa Lowassa na Rostam at one time, na Kinana most of the time.

Rais tunayemhitaji ni atakayeingia Ikulu na kupitia utendaji wa mtangulizi wake si kwa minajili ya visasi au kukomoana Bali kuwezesha a fresh start. All I can see in Magufuli ni business as usual, simba wa makaratasi kama JK.

Anyway, one good thing about JF ni kuwa kama archive ambayo huko mbeleni twaweza kukumbushana haya akina sie twayabashiri mapema.

Time will tell.
 
Kuna mtu nilimweleza jana haya na nikamwambia tuyategemee haya kutokea
 
Magufuli ni kifaa kingine ndiyo wapinzani na mafisadi hamlali kabisa mnawaza pakutokea poleni sana kiboko yenu kapatikana.
 
Ungeweka sifa za "asiye wa kawaida" na "wa kawaida" watu wajionee ila unaleta porojo tu za "watu wa kawaida". . . . . . .

Hii inaitwa Stockholm Syndrome. Na hili ni tatizo jingine kwa Tanzania yetu. Tunafanywa mateka kisha twamtetea mtekaji.

Wewe ni Mtanzania, mhanga wa kila uhuni wa kisiasa. Suala si nani asiye wa kawaida Bali nani ni wa kawaida na asiyeweza kuikwamua Tanzania yetu.

Lakini kujibu swali la nani si wa kawaida ambalo kimsingi ulipaswa ujijibu mwenyewe, tumeshuhudia ujasiri wa akina Makongoro calling a spade a spade kwamba CCM imeporwa. Ushamskia Magufuli akiwa na ujasiri huo?

Tuna akina Dkt Slaa waliomudu kututajia wabakaji wa uchumi wetu, wakatishwa kupelekwa mahakamani (actually Riz alienda mahakamani sijui kesi yake vs Slaa imefia SAP) lakini hawakutetereka.

Tuna akina Warioba waliokebehiwa na JK, wakapigwa na akina Makonda lakini wakaendelea kutetea Katiba Mpya.

And you are hereby asking me " nani si wa kawaida"? Why are we so used to settling for less when we actually deserve the best?
 
we jamaa ndo hamna kitu,...sasa unamlinganishaje nesi, mwalimu, au daktari na mwanasiasa,...hii ni sawa na kumlinganisha beki na straika au kiungo,..hawa wanafanya kazi tofauti mzee...
Ungeonekana wa maana kama ungemlinganisha magufuli na waziri wa ujenzi wa miaka kabla yake, kwa kipindi flani mfano miak mitano huyu alifanya nini na yule alishindwa kufanya nini,..kwa mazingira ynayofanana,...kitu ambacho hakiwezekani ....
 
Hii inaitwa Stockholm Syndrome. Na hili ni tatizo jingine kwa Tanzania yetu. Tunafanywa mateka kisha twamtetea mtekaji.

Wewe ni Mtanzania, mhanga wa kila uhuni wa kisiasa. Suala si nani asiye wa kawaida Bali nani ni wa kawaida na asiyeweza kuikwamua Tanzania yetu.

Lakini kujibu swali la nani si wa kawaida ambalo kimsingi ulipaswa ujijibu mwenyewe, tumeshuhudia ujasiri wa akina Makongoro calling a spade a spade kwamba CCM imeporwa. Ushamskia Magufuli akiwa na ujasiri huo?

Tuna akina Dkt Slaa waliomudu kututajia wabakaji wa uchumi wetu, wakatishwa kupelekwa mahakamani (actually Riz alienda mahakamani sijui kesi yake vs Slaa imefia SAP) lakini hawakutetereka.

Tuna akina Warioba waliokebehiwa na JK, wakapigwa na akina Makonda lakini wakaendelea kutetea Katiba Mpya.

And you are hereby asking me " nani si wa kawaida"? Why are we so used to settling for less when we actually deserve the best?
Lo! we jasili kweli. kubishana na wachumia tumbo wa nchi hii kunahitaji uvumilivu.
 
Mkuu, tusipowaelimisha hawa wenzetu wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau tutaendelea kupata kile tusichostahili kila baada ya miaka mitano au kumi. Tusiwapuuze Bali tuendelee kuwaamsha hata kwa bakora ikibidi. Tanzania tunayostahili inawezekana ila tu umoja na mshikamano wa wahanga wa huu uhuni endelevu wa kisiasa.
 
Tanzania kama nchi tuna tatizo kubwa. Kwa vile ubabaishaji,uzembe, ufisadi na uovu mwingine kama huko umezoeleka mno,nasi akitokea kiongozi anayetekeleza majukumu kama yalivyotanabaishwa katika duties&responsibilities au person specifications za wadhifa husika, anaonekana kama malaika.

Na hiki ndo kinachotokea sasa: Magufuli kuonekana kama mchapakazi hodari atakayeweza kuinusuru Tanzania yetu. Hatuwaoni madaktari/manesi kuwa wachapakazi hodari kwa kutimiza majukumu ya kazi zao na kuokoa maisha yetu, wala hatuwaoni walimu wachapakazi hodari kwa kufika mashuleni na kufundisha (tena Mara nyingi katika mazingira magumu) lakini Magufuli akifanya japo robo ya kazi anayolipwa mshahara mnono kuitekeleza, anaonekana kama malaika.

Ni kwamba tunatarajia ubabaishaji, uzembe,ufisadi,nk kiasi kwamba kuwajibika ambako ni wajibu kwaonekana muujiza.

In fact, the so-called uchapakazi wa Magufuli ni ku-meet expectations za mwajiri wake, ambaye essentially ni wewe mlipa kodi. Lakini expectations sio exceptions. Twawajua wanasiasa wachache tunaoweza kuwaita exceptional, na Magufuli si mmoja wao, unless tushushe bar na kumpima kwa lens ya ubabaishaji,uzembe na ufisadi ambao ndo trademark ya wanasiasa wa CCM.

Je Magufuli ana courage ya kumbana Riz na washirika wake wanaoibaka Tanzania yetu day in day out? I don't think so. And by the way, urafiki wake na JK waweza kumfanya Jk akabaki 'Rais by proxy', akaongoza nchi kwa remote control, akawa de-facto president kama walivyokuwa Lowassa na Rostam at one time, na Kinana most of the time.

Rais tunayemhitaji ni atakayeingia Ikulu na kupitia utendaji wa mtangulizi wake si kwa minajili ya visasi au kukomoana Bali kuwezesha a fresh start. All I can see in Magufuli ni business as usual, simba wa makaratasi kama JK.

Anyway, one good thing about JF ni kuwa kama archive ambayo huko mbeleni twaweza kukumbushana haya akina sie twayabashiri mapema.

Time will tell.

Unajua ninyi watu huwa mnanishangaza sana kila mtu anatumia huo msemo ya kwamba ,,kuna watu hodari na wachapakazi kuliko Bw.Magufuli", mara kuna vyama vyenye sera nzuri na demokrasia klk CCM lkn huyo mtu hamumtaji na wala hivyo vyama hamvitaji sasa maana yake ni nini?
Kama kuna huyo Mtu zaidi Bw.Magufuli kwa sasa hapa TanZania si umtaje na yeye tumlinganishe na Bw.Magufuli?

Kutokumtaja kwangu unabakia kuwa wivu na chuki binafsi tu ambazo ziko kwenye DNA Watz!
 
Magufuli hana lolote makelele tu ..hana vision hana mission yupo yupo tu ..ooh niaminini nitumeni..mxxxxxx aende zake kule
 
Unajua ninyi watu huwa mnanishangaza sana kila mtu anatumia huo msemo ya kwamba ,,kuna watu hodari na wachapakazi kuliko Bw.Magufuli", mara kuna vyama vyenye sera nzuri na demokrasia klk CCM lkn huyo mtu hamumtaji na wala hivyo vyama hamvitaji sasa maana yake ni nini?
Kama kuna huyo Mtu zaidi Bw.Magufuli kwa sasa hapa TanZania si umtaje na yeye tumlinganishe na Bw.Magufuli?

Kutokumtaja kwangu unabakia kuwa wivu na chuki binafsi tu ambazo ziko kwenye DNA Watz!

Labda tusaidie tusiojua. Kipi hasa alichofanya Magufuli unachoweza kukiita 'out of this world'? Bomoabomoa? Daraja la Kigamboni? Kuuza nyumba za serikali? Bil 250 za ripoti ya CAG?

TATIZO NI MAZOWEA YA KU-SETTLE FOR LESS
 
Magufuri ni mchapakazi na anafahamika pia,kama kubebwa na jk ni sahihi sababu kuna watu walitaka kutumia pesa ili waingie wao ikulu,jk aluposema anakura moja muhimu ndiyo iliyotumika kama ilivyotumika na nyerere kwa mkapa,hivyo magufuri ni sahihi na ni mchapakazi,watu wasimbeze kwa interest zao na chuki zao,wajenge hoja,kwanza hata huyo riz watu wanaongea tu,kila kizuri cha riz,hakyna mwenye evidence,wabongo tupunguze kutunga maneno
 
Labda tusaidie tusiojua. Kipi hasa alichofanya Magufuli unachoweza kukiita 'out of this world'? Bomoabomoa? Daraja la Kigamboni? Kuuza nyumba za serikali? Bil 250 za ripoti ya CAG?

TATIZO NI MAZOWEA YA KU-SETTLE FOR LESS

Wewe ndiyo unapaswa utusaidie kutueleza kwa maana umeleta hoja unayosema ya kwamba kuna zaidi ya Bw.Magufuli kwenye uhodari na utendaji hivyo umtaje huyo anayemzidi Bw.Magufuli ili tumlinganishe na kumpima sasa kama haumtaji unabakia tu kusema kwamba kuna Mtu bora zaidi yake inaonyesha kwamba una nia tu ya kukosoa lkn hautaki/hauwezi pia kutoa mtu mbadala hivyo unakuwa haujasaidia sana!
 
WATANZANIA wapo kama mazombie......hawajielewi na wala hawajitambui.....hawajui majukumu ya serikali juu yao....hawajui kuwa serikali ipo kwa ajili ya kuwatumikia wao na sio wao kuitumikia serikali.........shughuli za kawaida za serikali kwa ajili yao wao wanaona ni kama hisani tu.............Kiongozi wa serikali akija kuzindua mradi wa maji wao humuona kama MUNGU mtu wakati yeye anatimiza majukumu yake kwa kuwatumikia wananchi.........Kifupi elimu ya uraia inahitajika sana hapa nchini ili wananchi wajitambue na awatambue thamani yao mbele ya serikali.......Wananchi wanatakiwa watambue kuwa tunachagua viongozi kwa ajili ya kutuonyesha njia na sio kutusimamia.........Mwanachi ana haki ya kujua kuwa kodi yake anayolipa au anayokatwa inatumika vipi.......Mwananchi anayo haki ya kuhoji matumizi ya serikali.........WE HAVE A LONG WAY TO GOOOOO...........
 
Mbona slaa ni mpiga kelele tu kondakta wa daladala za kariakoo
 
Magufuli hana chembe ya ujasiri... Sio mtanzania mwenye uchungu wa raslimli za Taifa.. Ningemuunga mkono kama angestaafu pale alipolazimishwa kuruhusu malori yenye uzito mkubwa
 
Hii inaitwa Stockholm Syndrome. Na hili ni tatizo jingine kwa Tanzania yetu. Tunafanywa mateka kisha twamtetea mtekaji.

Wewe ni Mtanzania, mhanga wa kila uhuni wa kisiasa. Suala si nani asiye wa kawaida Bali nani ni wa kawaida na asiyeweza kuikwamua Tanzania yetu.

Lakini kujibu swali la nani si wa kawaida ambalo kimsingi ulipaswa ujijibu mwenyewe, tumeshuhudia ujasiri wa akina Makongoro calling a spade a spade kwamba CCM imeporwa. Ushamskia Magufuli akiwa na ujasiri huo?

Tuna akina Dkt Slaa waliomudu kututajia wabakaji wa uchumi wetu, wakatishwa kupelekwa mahakamani (actually Riz alienda mahakamani sijui kesi yake vs Slaa imefia SAP) lakini hawakutetereka.

Tuna akina Warioba waliokebehiwa na JK, wakapigwa na akina Makonda lakini wakaendelea kutetea Katiba Mpya.

And you are hereby asking me " nani si wa kawaida"? Why are we so used to settling for less when we actually deserve the best?

Ha haaha niliambiwa hivi "probing" humfanya mtu atapike nyongo "mtu wa kawaida" huwa lazima aongozwe kufika atakapo maana huwa anajiona sio wa kawaida wakati ni wa kawaida kabisa. . . . . .
 
Back
Top Bottom