#COVID19 RC Makalla, Mwamposa anamaIiza ibada 12 jioni, kuna Kanisa wanatoka saa 6 usiku huko Temboni mpo kimya! Tutaponaje na COVID-19?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,988
Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu

Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku

Vibaka walijazana sana sana wakaripoti husika, dk anaenda sawa 6pm kwenu

Kuna kanisa Temboni Mh. Makalla, watu wameanza kuibiwa usiku wa manane saa 6, si hivyo sidhani sheria zenu mnaruhusu kukaa mpaka mida hii

Kinachoumiza matangazo yake ya ibada wanasema saa 8 mpaka 12 redion nk

Ajabu ibada inaisha saa 6 mpaka saa 7 usiku haipendezi. Angalieni hili
 
Yaani we ndugu bado hubadirishagi namna ya kuandika vizuri? Mala ya mwisho niliona coment za watu mwaka 2010 wakikushauri uwe una andika vizur, adi leo hubadiriki?? Siyo powa mkuu
"mala"
"adi".
Hamchekani.
 
Kuna unafuu kiasi ukitumia herufi kubwa kuliko ndogo ...Temboni Kanisa Gani na Mchungaji wake ni nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom