Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila linapoletwa ubaoni na mezani suala la Katiba mpya, wanaCCM huwa mbele kuvuruga kwa kelele kupiga. Katiba ya sasa ya Tanzania iliandikwa mwaka 1977, takribani miaka 44 iliyopita. Katiba hiyo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kauli aliyotoa Makamu wa kwanza wa Rais alipokuwa Pemba ilikuwa kauli nzito iliyoashiria kuvunjika kwa mashirikiano yaliyopo. Kauli ile ilieleza wazi dhamira yake ya kutoendelea na madaraka kwenye...
13 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo...
6 Reactions
154 Replies
13K Views
waziri wa uchukuzi bado zimwi la kauli ya JPM kuwa anatafuta mbadala atakaye endesha wizara aliyokuwa akiiongoza; limezidi kumwendea kombo baada ya wateule wa Raisi kuanza kuwafungashia viago...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
"Acheni kujipa umuhimu wa kutaka kumshauri Rais Samia Suluhu , kwani kasema anataka ushauri? Keshawachagua washauri anaowataka na kapitia mentorship ya Magufuli - she knows what she is doing...
8 Reactions
87 Replies
8K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Siasa siyo uadui Chadema lazima waelewe kuwa mtuhumiwa hana hatia wala usafi hadi pale mahakama itakapotoa uamuzi wake. Hivyo basi, itoshe tu kusema Freeman Mbowe...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM. Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka...
25 Reactions
99 Replies
9K Views
Sijui kama ni mimi peke yangu, lakini ndani kabisa ya moyo wangu nahisi kwa dhati kabisa kwamba namna ya uongozi ya serikali ya awamu ya tano haitaleta hatima nzuri kwa nchi yetu Tanzania. Japo...
18 Reactions
93 Replies
8K Views
Habari! Suala la Mbowe kukamatwa limezua maswali yasiyo na majibu. Watu wengine wanasema Rais hahusiki kwa namna yoyote hivyo kaviacha vyombo vya dola huru vifanye kazi yake pasi kuviingilia...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo. Ndio maana hata Mhe...
5 Reactions
71 Replies
7K Views
Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Taarifa ya Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo juu ya Umuhimu wa Chanjo katika Mapambano dhidi ya Covid 19 Tangu dunia ilipokumbwa na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid19...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAASISI ya Tanzania Mzalendo Foundation yenye Makao Makuu yake wilayani Kahama mkoani Shinyanga imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa busara wa kuruhusu watanzania kupatiwa...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
1. Rais wa awamu ya 5 Hayati JPM mpaka umauti unamkumba hakubadilisha msimamo wa serikali yake kuhusu chanjo ya UVIKO 19. Alisema wazi kila mahala alipoenda kwamba huu ugonjwa ni hofu inayoenezwa...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli...
15 Reactions
288 Replies
26K Views
Kwa sasa ni Waziri wa Ulinzi na Usalama. Elias ni Mwanasiasa asiye eleweka baina ya wanasiasa na wasio wanasiasa-hatabiriki! Kwa sifa pekee ya upole aliyopewa na ndugu Rais John Pombe Magufuli...
11 Reactions
27 Replies
6K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla ameviagiza vyombo vya usalama kuhakikisha daladala zinabeba abiria level seat na kwamba wanaoruhusiwa kusimama ni wanafunzi wasiozidi watano. Wanafunzi...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakati huyu mama anaingia madarakani, alituahidi kwamba angefuta makodi yote ya dhulma. Wengi tulifurahishwa na kauli ile na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom