Hakika hii nchi suala la kupata viongozi wenye sifa za kuwaletea maendeleo wananchi linafanyiwa siasa sana
Ukifuatilia majukumu ya Mkurugenzi katika Halmashauri ni makubwa na mazito na yanahitaji...
Habarini wadau!
Hivi imekuaje TRA kwasasa hawatoa taarifa ya mapato kwa walipa kodi? Ilikuwa hisani au kuna sheria inaelekeza kila baada ya miezi 3 TRA wanapaswa kutangaza mapato kwa wananchi...
Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa.
Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo...
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)
2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-...
Kabla ya mauaji Rwanda viongozi wa kisiasa na vyombo vya dola waliminya watu Kama tunavyoshuhudia hapa nchini Sasa. Leo Mhe. Rais ametembelea Makaburi yaliyosababishwa na watu wachache walioona...
Kweli iko shughuli. Ilitakiwa wakurugenzi wa wilaya wawe na minimum required qualification let say master degree. Kisha kazi ziwe zinztangazwa na kushindaniwa kwenye usaili.
Hii biashara ya...
Kwa mujibu wa utamaduni wa CCM unaoenda sambamba na katiba ya JMT, Rais atahudumu madarakani kwa mihula miwili ya miaka mitana halafu Mitano tena.
Hili halina majadiliano kwa sababu mjadala wake...
ZIARA YA MHE MWENDA YATOA MAJIBU YA KERO 5 NZITO IRAMBA
Akiwa siku yake ya pili ya ziara ya kuendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata ya Kiomboi, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe...
NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19
Na: Shujaa
Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa)...
Kiukweli taifa la Tanzania tokea enzi za Nyerere siasa imekuwa ndio kila kitu yaani hakuna maisha bila siasa.
Hebu muangalie Padre Slaa aliyepata kuwa Katibu mkuu wa Chadema na sasa ni balozi...
Habari!
Siku moja nilikuwa na mzee mmoja mstaafu JWTZ aliniambia kuwa Ikulu hupokea taarifa na majina ya wahitimu wa elimu ya chuo kikuu wale wa degree ya awali nakuendelea. Pia hupokea majina ya...
Kamanda Sirro amekuwa akijinasibu kuhamasisha watu na ulinzi shirikishi. Sirro amekuwa akihimiza kuwa:
"ushirikishwaji watu katika maeneo yao ndiyo njia pekee ya kuumaliza kabisa uhalifu katika...
Ubalozi wa Marekani umeonya kuwa kuna tetesi za kutokea shambulio katika maeneo ya Masaki jijini Dar hususani katika migahawa na hoteli na Slipway Shopping Center ya Msasani
Katika tangazo lake...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa kiuchumi.
Amesema, "Kubwa tulilokubaliana ni...
Nimekuwa natafakari sana kauli aliyosema Rais Samia Hassan wakati akihutubia wazee wa Dar es salaam siku chache zilizopita kuwa ataanza safari za kujitambulisha kwa majirani zetu bila kupata jibu...
Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.
Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.
Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu...
CAG Mstaafu, Ludovic Uttoh amesema hakuna sababu za kwanini Wabunge wa #Tanzania hawalipi Kodi licha ya kwamba wana Mishahara kama walivyo Watumishi wengine wanaokatwa Kodi.
Uttoh amesema "Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.