Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa (Kugombanishwa) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena...
Nauliza hili suali ili kupatikane mbinu mbadala za kuiondoa CCM madarakani bila ya kutumia nguvu, mapinduzi au silaha.
Kuna haja ya kutafakari suala hili maana hata maandamano nayo ni mtihani.
Kwenye uchaguzi mkuu option huwa ni mbili kuna wanaochagua chama na Ilani yake na kuna wengine wanachagua mtu bila ya kujali itikadi za kisiasa.
Kuna wakati RC mstaafu wa Mbeya Albert Chalamila...
Amani iwe nanyi, napenda kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Hivi ule mgodi wa makaa ya mawe pale kiwira ulirudishwa serikalini au bado ni wa mh mkapa?
Pia napenda kuuliza ile mitambo ya Richmond...
ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE!
"Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote!
Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa...
Bunge la 12 Mkutano wa 3 Kikao cha 47 kinaendelea leo bila uwepo wa wabunge wanawake ambao wameelekea ukumbi wa Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa Wanawake wote bila kujali itikadi na Rais wa JMT mh...
Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo.
Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu...
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais...
Tutasema " FREEMAN AIKAEL MBOWE SIO GAIDI"
Kwako mhe. Freeman Aikael Mbowe.
Ninapokuwa katika umri wangu huu wa karibu robo karne hakuna siku imewai kupita sijasikia jina Freeman au Mbowe...
Ibada inaendelea.
Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi.
Rais Samia amechagua...
Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar).
Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM...
Kuna malalamiko mengi sana ya Watanzania kuhusu tozo zinazokatwa kwenye miamala ya simu. Tozo inalalamikiwa kuliko hata zile service charge za Tanesco wakati ule.
Neno ufisadi lilivuma sana baada...
Huku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe...
Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imelitangaza Jimbo la Konde huko Pemba kuwa wazi baada ya mbunge mteule, Sheha Mpemba Faki kutangaza kujiuzulu kabla ya kuapishwa na taratibu za...
Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na...
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho...
Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161).
Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais...
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania...
Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa...
Hata mimi nimeanza kuumia kwa baadhi ya mambo yanavyoenda. Niliamini tumepata relief na kufungua ukurasa mpya (ndiyo maana nikajibrand kama New Page). Mambo yanavyoenda kwa kweli hamna chema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.