Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo.
Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3...
Ndugu wanabodi kama mtakumbuka vizuri, tukiwa mwanzoni kabisa mwa kukabiliana na changamoto ya COVID-19 mwaka uliopita, ni Serikali hii hii iliamuru level seat kwa daladala zote zinazofanya kazi...
Na Chu Joe
Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema kuanzia sasa siyo hiari kuvaa barakoa bali ni lazima kwa watu wanaotumia usafiri wa umma au wanaokwenda au kuingia katika vituo vya mabasi...
Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.
Mbowe...
WAFUASI na WANACHAMA
..POLISI WANAFANYA KAZI NZURI
Kuna tofauti kati ya wafuasi na wanachama.
Bwana Yesu alikuwa na wafuasi (disciples). Kanisa lina wanachama (members) na wafuasi wachache...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara ndugu Gerad Kabuye ambaye Pia hutumia jina la Samuel na a.k.a Namba 3 si Raia wa Tanzania kwa 100% kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika toka kwa ukoo wake kule Kenya...
Toka janga la Covid19 lianze mwaka jana msimamo wa chama cha CHADEMA ulikuwa watu tahadhri zote zichukuliwe kama kuvaa mask na kuungana na jumuiya za kimataifa katika kupambana na ugonjwa huu...
Sidhani kuwa kuna wakati wowote ambapo chama kiliwahi kukuhitaji kama ilivyo kwa wakati huu.
Pengine utakuwa na sababu zako maalum zilizokufanya uwe mwanachama wa chama hicho, lakini hata kama...
ZUNGU HAJUI MITANDAO YA SIMU, NDIO FARAJA PEKEE WALIOBAKI NAYO VIJANA WA TANZANIA??
Na, Robert Heriel
Vijana wengi walikuwa na ndoto kubwa kwenye maisha, wapo waliokuwa na ndoto ya kuwa kupata...
Nchi nyingi sana Duniani Spika wa Bunge huwa ni watu walio karibu sana na Wananchi, ni mara chache unakuta maspika wa Mabunge wakiwa against community.
Tanzania ni tofauti sana akija mgeni then...
Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na...
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuagiza wenye mabasi kuyaingiza ndani ya kituo cha mabasi cha Magufuli wakati wa kupakia na kushusha abiria, baadhi ya...
Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo @moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu amesema anakuja Tanzania kufanya mikutano ya hadhara na siyo kujifungia chumbani kwa maana ya kufanya mkutano ya ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.