Itoshe tu kusema Mbowe siyo Malaika na Ole Sabaya siyo Shetani, CHADEMA eleweni hilo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,777
141,649
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Siasa siyo uadui Chadema lazima waelewe kuwa mtuhumiwa hana hatia wala usafi hadi pale mahakama itakapotoa uamuzi wake.

Hivyo basi, itoshe tu kusema Freeman Mbowe siyo malaika na Ole sabaya siyo shetani.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
UZURI MUNGU AMEFANYA KILA JAMBO KWA WAKATI WAKE. NAAM HATA WABAYA KWA SIKU YA UBAYA.
Mithali 16:4
[4]BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake;
Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Siasa siyo uadui Chadema lazima waelewe kuwa mtuhumiwa hana hatia wala usafi hadi pale mahakama itakapotoa uamuzi wake.

Hivyo basi, itoshe tu kusema Freeman Mbowe siyo malaika na Ole sabaya siyo shetani.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kesi ya Mbowe ndiyo itakwenda kumdhalilisha Siro na jeshi la Polisi kwa ujumla wake, lakini zaidi sana inakwenda kumharibia Mama Samia na Serikali yake bila kuitaja CCM kwani imeshajifia na kukasimu kazi zake kwa vyombo vya dola.
 
DPP wa CCM futa hilo shauri...achana na ugaidi ..mambo yamekuwa magumu saana..

Walioathirika na UGAIDI duniani wote wanaimulika kesi hii..

Kama una masikio na usikie, msizidi kuharibu uongozi wa Samia.
 
Tatizo bongo zao ziko Limited
BAVICHA
Screenshot_20210803-113556_Twitter.jpg
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Siasa siyo uadui Chadema lazima waelewe kuwa mtuhumiwa hana hatia wala usafi hadi pale mahakama itakapotoa uamuzi wake.

Hivyo basi, itoshe tu kusema Freeman Mbowe siyo malaika na Ole sabaya siyo shetani.

Mungu ni mwema wakati wote!
John ni ulinganifu upi unaotafuta katika wawili hawa, kawaida shetani ana matendo maovu na daima huwaza katika uovu, ilhali malika hujidhihirisha katika wema. Sasa wawezaje kutafuta ulinganifu kama huo kutengeneza uhalali wa upande unaovutia wewe?
 
Back
Top Bottom