James Millya: CHADEMA wanamuonea Rais Samia kwa kuwa ni Mwanamke

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,291
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
 
Hawa wakina John Heche wanaodai katiba mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai katiba mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Hii ni kauli ya kishenzi na kipumbavu ni mtu asiye na akili na mwenye inferiority complex tu anaweza kuitoa.

Hizi ni dharau hata kwa Samia mwenyewe, kwa sababu inaonyesha jinsi gani James ana mentality kuwa wanawake ni watu wa kuonewa.

Ningekuwa Samia kwa kauli tu kama hii ningefanya James aondolewe kwenye nafasi yake. Huwezi kufanya kazi na watu wenye mentality ya namna hii ukategemea mambo yatafanyika
 
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Mmojawapo wa wamasai wapumbavu kabisa.
 
Alipokuwa anakubali hiyo nafasi alikuwa hajui moto wake?! Ukitaka kuuza mkaa sharti ni uchafuke.

Mnataka haki sawa mkipewa majukumu mnakimbilia kuwa fulani ni mwanamke, kwani mwanaume ndie pekee kaumbiwa kusota. Mwache atumikie nafasi yake. Hayo mambo ya huyu ni mwanamke huyu ni mwanaume mwisho ni kwenye milango chooni

Kwanza in the future tunataka vyoo visiwe na alama ya jinsia ili kuendelea kuipa nguvu ajenda ya Beijing. Yaani mwanaume ukitoka huko unanyoosha toi yoyote unayojisikia , ukikuta mdada analalamika kwann unamwambia wanaume hua hatugongi milango maana hatuna cha kuficha zaidi ya makalio .....
 
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Huyu marioo ndio mmasai mpumbavu no.2 ...akimfutia sendeka...yeye muda wote akiwa mbunge alikua yupoyupo tu kwa ajili ya mshahara hakuwahi kufanya lolote....aendelee kua mpamba wa lowasa makapi yote cdm walishaondoka

.
 
Kwani wamemchapa fimbo jaman ila Africa bado sana watu kudai katiba eti kisa mwanamke...hivi na kikwete alikua mwanamke ambae kwene awamu yake siasa ilikua huru kabisa....yani unawez hisi hao upinzani wanadai Mama samia awanyonyeshe kumbe ni katiba ya nchi
 
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Toka OLE SENDEKA akupore UBUNGE Umerukwa na Akili Chadema Wamepambana na MAGUFULI miaka 5 Wewe ndio uliikimbia Chadema ukajisalimisha kwa MAGUFULI
 
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Urais ni taasisi sio Mtu/jinsi
 
Huyu marioo ndio mmasai mpumbavu no.2 ...akimfutia sendeka...yeye muda wote akiwa mbunge alikua yupoyupo tu kwa ajili ya mshahara hakuwahi kufanya lolote....aendelee kua mpamba wa lowasa makapi yote cdm walishaondoka

.

Kwani siyo mbunge sasa?
 
Kipindi cha awamu ya 5 WALIUFYATA....KIMYAAA....

#KaziIendelee
#SiempreCCM
#SiempreSSH
 
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Yeye Millya ndie amemuona Mhe Rais kwenye sura ya mwanamke. Millya bado utoto unamsumbua, kitu kidogo nitakusemea kwa mama, dah! Na mashekhe wa uamsho ni kwa sababu Rais ni mwanamke! wanaolalamikia kubambikiwa kodi ni kwa kuwa Rais ni mwanamke! kuchukua tahadhari za korona sasa ni kwa kuwa Rais ni mwanamke! malalamiko ya Diallo ni kwa kuwa Rais ni mwanamke!. Ila kudai katiba mpya ni kwa kuwa Rais ni mwanamke. Tuba safari ndefu kuifikia asubuhi.
 
Mnh. Millya ni mbunge kwani?
 
Back
Top Bottom