Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na siasa kwani zitakupotezea muda tu
Angalia maisha yako mengine, una mke mzuri hebu tulia nae mjenge familia iliyo Bora wazazi wako na ndugu zako chirstina na wenzie wanakupenda Sana hawatopenda kuona ukikimbizana na dola kila kukicha
Angalia yaliyowapata wenzio waliokutangulia kaa chini fikilia kwa makini Kisha utapata jibu
Lifanyie kazi Hilo
Wasalaaam