Gazeti la Nipashe la leo limeinukuu mahakama ikisema kwa sasa ipo tayari kupokea ushahidi kutoka kwa wote waliobakwa na kuteswa na Lengai Ole Sabaya alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai.
===
Hakimu wa...
Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya.
Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri...
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu...
Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM
Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no.
Fomu...
Mimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mhe. Aesh Hillary leo ameshiriki na kuwaongoza wananchi mbalimbali waliojitokeza kupata Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi...
Leo katika hotuba ya MH Rais amesikika akisema wameshakubalia taasisi mbalimbali kuagiza chanjo za aina wanayoitaka wao, taasisi mojawapo ni ya Mzee Azim Dewji.
Najiuliza mbona suala kama hili la...
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu...
Jeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao.
Kauli...
MBEYA VIJIJINI - MBEYA SIKU YA PILI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi akizungumza katika Kikao Wilaya ya Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya ambapo...
Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe...
TUHUMA ZA UGAIDI ZA MBOWE ZINAWEZA KUWA NA UKWELI WOWOTE?
Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu yangu Freeman Mbowe ametiwa hatiani na polisi kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kutaka kuua na...
Mbunge mkaazi maana yake ni Mbunge atakayekuwa akikaa katika Ofisi ya Mbunge Jimboni akikagua Shughuli za Maendeleo katika Jimbo, akisikiliza shida za Wananchi na kufuatilia majibu.
Mbunge mkaazi...
Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE
Kwako waziri wa elimu,
Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa.
Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi.
Kama...
Mahakama ya haki za binadamu ya Afrika, imesema kuwa itaendelea kuwajengea uwezo mawakili wanaosimamia kesi zinazohusu ukiukwaji wa haki za binadamu ili kuhakikisha masuala ya haki za binadamu...
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu...
Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde ameagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule zote ili kupunguza uovu sababu Wanafunzi wenye hofu ya Mungu hawawezi fanya utovu wa nidhamu kama...
Ila ana point kweli huyu mwamba, maana hv ndo tunaweza kuepukana na simcard tax za Mzee Mwigu.
Kwa hio kajamaa kanamaanisha na sisi Tanzania tutakuwa na ka CIA ketu na ka FBI au sio? Ila sisi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.