Ndugai ndio Spika pekee Duniani kuwa na Kinga ya kutoshitakiwa

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,792
2,000
Nchi nyingi sana Duniani Spika wa Bunge huwa ni watu walio karibu sana na Wananchi, ni mara chache unakuta maspika wa Mabunge wakiwa against community.

Tanzania ni tofauti sana akija mgeni then ndo akute Ndugai anaongea kwenye TV anaweza dhania yeye ndio Rais wa nchi au Waziri mkuu kwa namna anavyoitetea Serikali.

Ndugai speed ya kutetea Serikali ni kubwa kuliko ya Waziri mkuu kutetea Serikali na hii nadhani inachagizwa na Kinga alionayo.

Spika wengine huwa ni watu rafiki wa wananchi na mara nyingi huja kuwa wakuu wa nchi, ila Ndugai Ubunge tu huwa anafanya Magumashi
 
Kabugula

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,716

Ukoo wa panya
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,130
2,000
Anajiwekea kinga dhidi ya wananchi anaowawakilisha, maana ubunge ni wa miaka mitano........kwa hiyo kila spika atakayekuja baada ya miaka mitano awekewe kinga, au ndugai yeye ameshajihakikishia yeye ni spika wa maisha..
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,356
2,000
Nchi nyingi sana Duniani Spika wa Bunge huwa ni watu walio karibu sana na Wananchi, ni mara chache unakuta maspika wa Mabunge wakiwa against community.

Tanzania ni tofauti sana akija mgeni then ndo akute Ndugai anaongea kwenye TV anaweza dhania yeye ndio Rais wa nchi au Waziri mkuu kwa namna anavyoitetea Serikali.

Ndugai speed ya kutetea Serikali ni kubwa kuliko ya Waziri mkuu kutetea Serikali na hii nadhani inachagizwa na Kinga alionayo.

Spika wengine huwa ni watu rafiki wa wananchi na mara nyingi huja kuwa wakuu wa nchi, ila Ndugai Ubunge tu huwa anafanya Magumashi
Na leo amepata kinga ya corona

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,486

Nikikumbuka kuwa aliwahi kupiga mtu rungu mpaka akazirai kwa sababu ya ubunge naihurumia sana Tanzania ya kesho.
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,278
2,000
Kikatiba kwa nchi yetu, ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha".

Kama tunavyojua, Bunge la JMT ni mwanachama mtiifu wa mabunge ya Commonwealth na huzingatia sana mila, desturi, na miiko ya mabunge hayo hasa pale jambo husika linapokuwa na maslahi kwa wabunge, Spika na NS.

Kwa kuwa "kinga ya kutoshtakiwa" ina maslahi ya moja kwa moja kwa wahusika (Spika na NS), na kwa kuwa ni jambo zito lenye athari nyingi kwa nchi, kwa mwenye ufahamu, tafadhali atujuze ni bunge lipi lingine lenye mila, desturi, na miiko ya kutoshtakiwa maspika na manaibu-spika wake ambako Bunge la JMT limerithi utamaduni huo?
 
andreakalima

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
4,529
2,000
Nchi nyingi sana Duniani Spika wa Bunge huwa ni watu walio karibu sana na Wananchi, ni mara chache unakuta maspika wa Mabunge wakiwa against community.

Tanzania ni tofauti sana akija mgeni then ndo akute Ndugai anaongea kwenye TV anaweza dhania yeye ndio Rais wa nchi au Waziri mkuu kwa namna anavyoitetea Serikali.

Ndugai speed ya kutetea Serikali ni kubwa kuliko ya Waziri mkuu kutetea Serikali na hii nadhani inachagizwa na Kinga alionayo.

Spika wengine huwa ni watu rafiki wa wananchi na mara nyingi huja kuwa wakuu wa nchi, ila Ndugai Ubunge tu huwa anafanya Magumashi
Kinga au Chanjo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom