Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan, ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo na siku njema huonekana asubuhi. Wewe ni Rais wetu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa...
24 Reactions
63 Replies
7K Views
Under Secretary for Political Affairs Victoria Nuland will travel to South Africa, Botswana, Tanzania, and Niger from July 31 to August 6. In South Africa, the Under Secretary will meet with...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi. Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani...
23 Reactions
118 Replies
9K Views
Tumezoea kwa nyakati Kama hizi kumwona mpambanaji jasiri akiongoza jeshi la wakinamama wa CHADEMA akiwa bega kwa bega na wapambanaji wengine kwenye majukwaa ya kisiasa akidadavua sera za chama...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo...
59 Reactions
193 Replies
31K Views
Wana JF, Mwaka 2020 ulikuwa mwaka wa uchaguzi mkuu. Mambo yalifanywa na viongozi wetu yanaonyesha kwa kiasi kikubwa suala la maadili katika nchi yetu limepigwa teke. Taifa liimeoza kabisa. Uozo...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Habari wana JF Ukijifunza kwa nadharia tu, mara nyingi watu walio wengi huwa ni vigumu kupata ufahamu mpaka wafanye vitendo (practical). Mwaka 2015 vyama upinzani viliwaeleza namna wananchi...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Huyu mtu mmoja kwanini ana vitambulisho viwili ?
9 Reactions
85 Replies
12K Views
Kwanza niipongeze kwa kuupanua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa kuwa wa kiwango cha kimataifa. Kwakweli mwanzaoni hata mimi sikuona haja lakini huu mradi ni muhimu sana kwa utalii nyanda za juu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani...
11 Reactions
89 Replies
9K Views
Ni mimi meneja wa makampuni naomba hii maana ikumbukwe vizazi na vizazi ya kwamba. "Katiba ndio moyo wa taifa" Shughuli zote zinazofanywa ndani ya nchi zinasukumwa na katiba ambao ndio moyo...
0 Reactions
2 Replies
616 Views
Leo tarehe 09 Agosti 2021, Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ndugu Juma Duni Haji, Katibu Mkuu Ndugu Ado Shaibu na Mjumbe wa Kamati Kuu ambaye pia ni Makamu wa Kwanza...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia...
69 Reactions
215 Replies
19K Views
Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi...
4 Reactions
54 Replies
15K Views
Katika haii ya kuonyesha kuwa CCM haiko serious, imetuletea wagombea magumashi, walaghai, wasaniiwasanii. Mmoja wa wagombea feki, ni mzee wa kanyanga Gwajima. Huyu ana maskendo mengi kuanzia...
12 Reactions
42 Replies
6K Views
Hamna CCM imara kama upinzani ni dhaifu, Chadema fanyeni kujitahidi hili kuleta amsha amsha ndani ya nchi. Kwa kifupi mtu akisema Chadema imepoteza dira anakuwa yuko sahihi sana. Ebu...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima amewataka wananchi kutoiogopa Corona kwa sababu haina lolote bali ni janjajanja ya yule mkuu wa ulimwengu. Gwajima amesema wakati wa wimbi la kwanza...
15 Reactions
130 Replies
9K Views
Nimeona sehemu nyingi baadhi ya watu wakijadili kuhusu ''bwana yule'' huku wengine wakimbeza lakini wengine wakiuliza kimetokea nini kwa sasa ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu. Kwa...
50 Reactions
362 Replies
78K Views
Back
Top Bottom