Halima Mdee upo wapi? Wapambanaji tunakumiss

Ibumalo

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2017
Posts
465
Reaction score
501
Tumezoea kwa nyakati Kama hizi kumwona mpambanaji jasiri akiongoza jeshi la wakinamama wa CHADEMA akiwa bega kwa bega na wapambanaji wengine kwenye majukwaa ya kisiasa akidadavua sera za chama.

Huduma hiyo tunaihitaji sana wakati huu wa kuelimisha watanzania juu ya umuhimu wa katiba mpya.

Naelewa kwa sasa ana mgogoro na chama lakini pia naelewa kuwa yeye bado anajitambulisha bado kama mwanachama wa CHADEMA. Ili kuonyesha kwamba yeye bado ni mwanachama na kwa vile yeye ni Mbunge angetumia wadhifa huo kujitokeza na kutoa kauli kuunga mkono chama. Ingesaidia kutuhakikishia kwamba yeye hajanunuliwa na CCM.

KAZI IENDELEE.
 
Huyo Kisha pata posho ya vikao vya bunge na mshahara usiokatwa kodi Mungu ampe nini??--- yeye ni mmoja wa wabunge waliopitisha seria ya tozo la miamala ya Cm sasa unataka atuambie nini kwa machungu haya ??!
 
Tumezoea kwa nyakati Kama hizi kumwona mpambanaji jasiri akiongoza jeshi la wakinamama wa CHADEMA akiwa bega kwa bega na wapambanaji wengine kwenye majukwaa ya kisiasa akidadavua sera za chama.

Huduma hiyo tunaihitaji sana wakati huu wa kuelimisha watanzania juu ya umuhimu wa katiba mpya.

Naelewa kwa sasa ana mgogoro na chama lakini pia naelewa kuwa yeye bado anajitambulisha bado kama mwanachama wa CHADEMA. Ili kuonyesha kwamba yeye bado ni mwanachama na kwa vile yeye ni Mbunge angetumia wadhifa huo kujitokeza na kutoa kauli kuunga mkono chama. Ingesaidia kutuhakikishia kwamba yeye hajanunuliwa na CCM.

KAZI IENDELEE.
Hapo ndo utajua kuwa Halima sio Chadema tena. Ni CCM Viti maalumu
 
Kunambi bungeni alimunyoshea kidole eti Halima NAKUONYA USIRUDIE KUTUITA SISI njuga,Mdee alikuwa mpole kama sio yeye.

Kati ya mambo ambayo Halima aliingizwa chaka ni usaliti

..hapana.

..Hakuna mbunge wa CCM anayeweza kupambana na Halima Mdee kwa hoja.

..Kunambi, Joseph Musukuma, Jerry Silaa, Elibariki Kingu, Jennister Mhagama, na wengine, kwa nyakati mbalimbali wamejaribu kupambana na Halima Mdee lakini wameishia kuonekana kama vitoto vya chekechea mbele ya mwalimu wa mkuu.

..Muangalie Halima Mdee hapo chini ili kujiridhisha kama kuna mbunge wa CCM anayeweza kupambana naye.

Nani alitegemea mzee Halima angenunulika.
Nani alitegemea Cylinder angenunulika
Nani alitegemea Mwita Waiter atanunukika Tena kwa kreti ya beer
Nani alitegemea Jambatiya angenunulika
Nani alitegemea Le pumber, Mremi na Thelathini.
 
Yupo busy na Dadi msimsumbue🤣👇
2627570_Screenshot_20201130-071639.jpg
 
Wapumbavu wenyewe ndio walikataa usajiri wake kamba hautambuliki na chadema,yeye ni nani apiganie haki ya wasiomtambua!!!!
 
Back
Top Bottom