RAIS John Magufuli amezindua rasmi Mradi wa Umeme wa Makambako - Songea wa kilovolti 220 uliojengwa kwa gharama ya zaidi ya Sh bilioni 216, akisema azma ya serikali ni kuifanya nchi kuwa na umeme...
Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana...
Ni dawa inayosemekana inatibu covidi kwa asilimia miamoja na pia kuwaepusha wagonjwa katika chumba cha kusubiria kifo. Nenda kaguguli uone huko duniani kumebadilika.
When was Sotrovimab approved...
Chadema ni kama wamevurugwa vile.
Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika ataongea na waandishi wa habari leo saa 6.00 mchana makao makuu ya chama hicho mtaa wa Ufipa manispaa ya Kinondoni.
Mwalimu Nyerere alijua kuwa kuna haja ya kuwa na mihimii mitatu ya Jamhuri. Akalijenga Taifa katika mihimili mitatu yaani Serikali, Mahakama na Bunge. Japo muundo wake haukuashiria uhuru wa 100%...
Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh; Godbless Lema anayeishi nchini Canada amesema kamati yake itakutana kwa dharura kuyatafakari mahojiano ya Rais Samia na BBC na kutoa ufafanuzi kama itawalazimu...
Mkuu wa chama chao wanamtetea kwa kila jambo ovu na baya atakalo fanya. Wapo radhi warushe magumi na mateke.
Alipovunja mguu kwa ulevi na starehe zake binafsi. Walitoka vifua mbele na hadharani...
Speech Mh. Samia Suluhu Hassan jana akihojiwa na Kikeke wa BBC naona imeligawa taifa. Kwamba tabaka la watawala na Watawaliwa.
Na kwamba ukishaazishwa uongo basi unasimamiwa na wote ili kulinda...
Kwanza kabisa nakupongeza kwa ukipofikia. 1. Kwenye chanjo
2. Kwenye Makato ya Kodi
Tanzania ilipokuwa imefikia ilikuwa ni pabaya sana. Watu waliaminishwa ujinga na wakaendelea kuishi kwenye...
Siwezi kusema sana na wewe kama mtendaji mkuu wa Chama tikasikia kesi ya Ugaidi kama alivyo kwa mwenyekiti wako. Mwambie yupo ndani wewe hujashtakiwa na mtu. Wakati mnahangaika na mashtaka yake...
Ilianza hakuna Katiba Mpya
Mara ikaja ya Warioba ikaishia njiani
Mara ikaja wacha tujenge nchi kwanza.
Naona kabisa tunaelekea maana itafika hatua tutakosa cha kusema zaidi ya kuandika iyo...
Nimekuwa nawasikia viongozi wetu wanawalaumu sana wapinzani kuwa wanakwamisha na kuchelewesha maendeleo na uchumi wa nchi.
Binafsi naamini uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kimkakati wa kuwaondoa...
Hivi karibuni kumezuka mjadala mzito vyamani pale anapokosea mheshimiwa yoyote
Tumeona timu ya G19 ilioyoshambuliwa na kila kiongozi wa chady kwa kuingia mjengoni..
Sasa imekuwa taharuki...
Ndugu zangu,
Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda".
Leo Rais Samia Hassan...
Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana...
Akihojiwa na mwandishi wa BBC. Mheshimiwa Rais amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa "VIMECHAMBUKACHAMBUKA"
Nini tafsiri ya neno hilo kutumia kwa kiongozi kama Rais huku akijua...
Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan, ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo na siku njema huonekana asubuhi.
Wewe ni Rais wetu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa...
Under Secretary for Political Affairs Victoria Nuland will travel to South Africa, Botswana, Tanzania, and Niger from July 31 to August 6.
In South Africa, the Under Secretary will meet with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.