Asubuhi ya leo, nilileta uzi hapa nikionya kuwa ukimfunga Mbowe, utafanya wapinzani waone hawana tena cha kupoteza kwa kufungwa au kuwekwa mahabusu.
Nilionya kuwa hatua ya kuwaweka ndani...
Friends and Enemies,
Kuna msemo unasema kwamba kumrushia jiwe kila mbwa anayebweka barabaran huwezi kufika safari yako,
Vipo vitu vya msingi vya kulumbana na Serikali,kama hivi ongezeko la...
Nchi yetu imepitia vipindi kadhaa vigumu kwa nyakati tofauti. Kuna watu wamefaidika na wengine kuumizwa na vipindi hivyo. Hawa wote wapo,kwa maana waliofaidika na walioumizwa.
Anatoka mtu mmoja...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na...
Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
Nampongeza Mheshimiwa Raisi Mama Samia kwa uteuzi wa ndugu Ishmael Andulile kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB. Pamoja na pongezi hizo ninakuomba mheshimiwa Raisi utupie jicho nafasi...
Nimeoana wasifu wa Dk. Mahiga alizaliwa mwaka 1945 na mwaka 1980 akateuliwa na mwalimu Nyerere kuwa mkuu wa Idara ya usalama wa Taifa (TISS). Ina maana alikuwa na miaka 35 tu.
Kwa watumishi wa...
Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka!
Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara.
Mwaka jana...
Andiko hili nimeliona kwenye forums kadhaa, walau Wakili Msomi amekiri kwamba mfumo sasa upo stable.
Kuhusu suala linalolalamikiwa, kwanza nikiri kwamba hoja zake Ni za ukweli na changamoto hii...
Nilipenda maelezo ya ZZK Kiongozi wa ACT katika Kikao cha Kamati Kuu ya chama chake iliyofanyika Zanzibar jana tarehe 08 Agosti, 2021. Alirejea ukweli kuwa Rais Samia alianza vema sana uongozi...
Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo...
- Asema watekelezaji hawana weledi na kusababisha kero na taharuki.
- Aitisha kikao Cha dharuracha Wakurugenzi na TARURA kujadili.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameonyesha...
Hata Rais anashindwa kuongea na wapinzani kwakuwa wamenyambukanyambuka, hajui aongee na nani.
Je, ni kweli wapinzani mmenyambukanyambuka? Kumuona Mbowe pekee akiwa kwenye kurasa za mbele za...
RAIS SAMIA ANA MAMLAKA YA KUMTEUA MTENDAJI MKUU WA TANROADS.
Ndugu Mpinzire katika uzi wake hapa jamiiforums amejenga hoja nzito kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hana mamlaka ya...
Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.
Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena...
Wanaukumbi
Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele...
Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza...
•MAENDELEO ni MAFANIKIO
Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie.
•Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo?
Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri...
GTs,
Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija?
Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na...
Kutokana na matokeo ya utafiti yaliyotolewa na taasisi ya CEDP, Rais Magufuli ameendelea kuwa mwanasiasa anayependwa Zaidi kwa sasa. Rais Magufuli kawapiku wanasiasa wengine kama Lowassa, Membe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.