#COVID19 Sijui kama mtazamo wangu uko sawa, ila nawaona wote wanaopinga chanjo kama wana shortage kichwani!

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona

Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu sana kwanini viongozi wameachana na maelekezo ya JPM katika kukabiliana na COVID?

Sasa basi mi namuomba Askofu atembelee hospitali za Bugando na KCMC akawaombee wagonjwa walioko kwenye oksijen waweze kupona maana hali si shwari.

Kwanini nawaona wapinga chanjo wana shortage kichwani?

Kwanza kabisa Nchi hii wengi wanaopinga chanjo hawana utaalamu wowote wa maswal ya utabibu wala tiba wala hawajawai kufanya tafiti zozote za kitabibu, askofu kasomea elimu ya dini,

Anadai kwanini chanjo haikusubiri miaka kumi ndio itumike, serious mtu mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la kijinga namna hii, ugonjwa wa mlipuko unaoua kwa muda mfupi unataka chanjo ichukue miaka kumi?

Angalia ugonjwa ulivyoingia nchi za watu kule kwa siku walikua wanapoteza maelfu na maelfu ya watu, Italy hadi wazee walitaka kuisha askofu alitaka mpaka 2030 ndio chanjo ianze kutumika?

Vuta kumbukumbu tatizo la Ebora, chanjo yake ilipatikana ndani ya mwaka mmoja tu na ikafanya kazi kwa ufanisi mpaka leo Ebora imebaki kwenye vitabu,

Wazungu wanataka kutuua na chanjo zao? ni mpumbavu tu ndiye anaweza kusema kauli kama hizo

Binafsi sina ubaya wala chuki na mtu ila twende mbele turudi nyuma wote wanaopinga chanjo inawezekana kuna fyuzi kichwani zimelegea tukianza na askofu Rashidi na anakoelekea atachanganyikiwa hii yote ni laana ya wizi wa kura inamtafuna

Ili niwaone wapinga chanjo kua wako sawa kiakili, naomba wasusie dawa zote za hospitali zinazotoka nchi za mabeberu bila hivyo nitaendelea kuwaona ni wajinga tu

Nataka mumwambie askofu kipindi kile amevunjika miguu anatembelea wheel chair dawa za mabeberu ndio zilimtibu, na aelewe kwamba wakati yeye anakula analala anashiba kwa sadaka za waumini ajue kuna watu humu duniani hawalali wanaumiza vichwa kwa tafiti za kisayansi kutengeneza dawa za za magonjwa mbalimbali
 
Taarifa ni kwamba wengi wanaochoma chanjo wanavuta. Nimeshuhudia watu 30 ninao wafahamu waliochanja 19 washavuta.

Endeleeni kushupaza akili.
Hiyo taarifa umeitoa mtaa gani? nyie ndio mko mbali na chanjo lakini mnajidai kuzijua taarifa zote za yanayotokea hospitalini.
 
Haujatulia kabisa kajipange upya Corona waifananisha na Ebora yaone mapungufu yako kwanza kabla hujayaona ya wenzio ebola ni janga la kikanda especially Afrika mzee Corona ni dunia nzima afu kwa mda mfupi jihoji why h.i.v haina kinga kwa nini chanjo za uviko ni za Marekani tu na waingereza
 
Haujatulia kabisa kajipange upya Corona waifananisha na Ebora yaone mapungufu yako kwanza kabla hujayaona ya wenzio ebola ni janga la kikanda especially Afrika mzee Corona ni dunia nzima afu kwa mda mfupi jihoji why h.i.v haina kinga kwa nini chanjo za uviko ni za Marekani tu na waingereza
unauhakika chanjo ni za marekani tu na uingereza? unajua zanzibar imepokea chanjo kutoka nchi gani? ndio maana nasema mna shortage kichwani
 
Back
Top Bottom