Gazeti la the citizen la leo limeriport kuwa nchi ya Tanzania imeipiku nchi ya Kenya kwa upelekaji wa bidhaa nchini Uganda kupitia bandari. Kabla ya hapo Kenya ilikuwa inaongoza kwenye nchi za...
Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA.
Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa...
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania wote kujitokeza na kuchanja ili kwa pamoja tuishinde na kuitokomeza Corona.
Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo...
Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya
By Mgongo Kaitira
Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya...
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.
Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako...
PEMBA ZANZIBAR
Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi
Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.
Alisema moja ya changamoto...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED
1. Ensuring the...
Na Thadei Ole Mushi.
Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo...
Rais Samia Suluhu huu si wakati wa kukaa kimya, hutubia taifa ili nchi na watu wake wapate mwanga mpya, kuna mambo mengi yanachanganya wananchi, mfano
Suala tozo
Chanjo
Democracy
Ugaidi
Kuna...
Naona imekua too much sasa hivi kila jumapili Rashidi, anatumia lile Godauni la ufufuo na uzima kupingana na serikali, naona mpaka sasa yeye ndiye mshindi maana imeonyesha dhahiri serikali...
Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu...
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.
Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na...
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi...
Wanaukumbi.
Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo...
Ni kweli CCM ilikuwa na wanachama wengi kupita maelezo na kwa sasa kusema kweli imepoteza nguvu na wanachama waliobaki ni waganga njaa ,sio wenye imani kama ilivyozoeleka,
Leo hii CCM imefikia...
Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!
Baada ya kubeza nakuona urudiji wa Wema hauna tija katika chama na...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bwana Abel Makubi amesema kumeanza kujitokeza vitendo vya kujipatia vyeti feki vya chanjo ya Covid-19 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasijaribu...
Kutoka Abidjan, Ivory Coast, tarehe 8 Agosti,2021.
Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb), Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ameshiriki katika kikao cha awali cha mashauriano kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.