Utekaji uliofeli: Nadhani Mbowe angepelekwa kusikojulikana

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa Mwenyekiti wangu wa CCM, awe wa ngazi ya Taifa au ya Tawi .

Nihisivyoa utekaji wa mwenyekiti wa Chadema ulikwenda WRONG na ndio tukashuhudia tuliyoshuhudia ,manane ya usiku kumkamata mtu ambae ni maarufu na kutwa kucha yupo mitaani hajifichi wala hakimbii ni mara ngapi Mwenyekiti wa Chadema waliitwa polisi na kuhudhuria.

Je, Mbowe alikuwa ni fugutive and wanted and his body (pictures) were tagged by cost with billboards on the street? Ni wazi mission ya kumteka na kusingizia watu wasio julikana ilikwenda mchomo, waliopanga bila ya shaka yeyote walikosea stepu au tuseme Mungu aliwaadhirisha, mipango ilifeli.

Na kama utaangalia utaona mpangilio wa kubangaiza ambao ilibidi watafute hili na lile ili iwe ni kesi. Tumesikia na kuona matangazo ya mwanzo mara amekamatwa kwa sababu hii mara ile ,kwa akili ya haraka haraka ili kuhalalisha wakati wa kuvamia saa nane za usiku wakaishia na kosa la Ugaidi.

Kilichotokea ni utekaji uliofeli kama wangefanikiwa nahisi yangekuwa yale ya wasiojulikana, mnaoweza kupinga leteni facts kama ulikuwa sio utekaji.
 
Kwanini ujifiche katika kivuli cha mti. Wewe ni chadema kindakindaki
Tokea nianze kutunza kumbukumbu sijawahi kuwa na kadi ya Chama chochote,sijawahi kupiga kura wala kujiandikisha na sijawahi kuhudhuria mkutano wowote wa chama cha siasa au kingine ni muunganishaji wa wafukuza mwizi.

Na CCM kwa sasa amenadiwa mwizi hivyo makelele ya kumnadi ndio yatakayounganisha nguvu za wananchi kumshinda Mwizi huyu, tatizo mwizi huyu amefikia kiwango cha kuitwa Jambazi maana anamiliki silaha.

Hili la Mbowe halina uhusiano na Samia hivyo kama waZanzibari hawana tabia hii ya kuwateka wenyeviti hili ni la kupangwa na ndio ukaona Samia aliwahi kupeleka salamu za rambirambi na yupo analifuatilia kwa karibu, kwani kishanuka.
 
Tokea nianze kutunza kumbukumbu sijawahi kuwa na kadi ya Chama chochote,sijawahi kupiga kura wala kujiandikisha na sijawahi kuhudhuria mkutano wowote wa chama cha siasa au kingine ni muunganishaji wa wafukuza mwizi.

Na CCM kwa sasa amenadiwa mwizi hivyo makelele ya kumnadi ndio yatakayounganisha nguvu za wananchi kumshinda Mwizi huyu, tatizo mwizi huyu amefikia kiwango cha kuitwa Jambazi maana anamiliki silaha.

Hili la Mbowe halina uhusiano na Samia hivyo kama waZanzibari hawana tabia hii ya kuwateka wenyeviti hili ni la kupangwa na ndio ukaona Samia aliwahi kupeleka salamu za rambirambi na yupo analifuatilia kwa karibu,kwani kishanuka.
Huwezi kuwa mshabiki wa mpira usiwe simba au yanga (ukiwa TZ) ingawa utasikia mimi mshabiki wa mbeya city au asenali au manchester city etc. Huwezi kuwa mshabiki wa siasa usiwe aidha ni ccm wa kujificha au upinzani wa kujificha. Wewe ni chadema wa kujificha chini ya kivuli cha mti
 
NTU wa teuzi huyo
 
Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa Mwenyekiti wangu wa CCM, awe wa ngazi ya Taifa au ya Tawi .

Nihisivyoa utekaji wa mwenyekiti wa Chadema ulikwenda WRONG na ndio tukashuhudia tuliyoshuhudia ,manane ya usiku kumkamata mtu ambae ni maarufu na kutwa kucha yupo mitaani hajifichi wala hakimbii ni mara ngapi Mwenyekiti wa Chadema waliitwa polisi na kuhudhuria.

Je, Mbowe alikuwa ni fugutive and wanted and his body (pictures) were tagged by cost with billboards on the street? Ni wazi mission ya kumteka na kusingizia watu wasio julikana ilikwenda mchomo, waliopanga bila ya shaka yeyote walikosea stepu au tuseme Mungu aliwaadhirisha, mipango ilifeli.

Na kama utaangalia utaona mpangilio wa kubangaiza ambao ilibidi watafute hili na lile ili iwe ni kesi. Tumesikia na kuona matangazo ya mwanzo mara amekamatwa kwa sababu hii mara ile ,kwa akili ya haraka haraka ili kuhalalisha wakati wa kuvamia saa nane za usiku wakaishia na kosa la Ugaidi.

Kilichotokea ni utekaji uliofeli kama wangefanikiwa nahisi yangekuwa yale ya wasiojulikana, mnaoweza kupinga leteni facts kama ulikuwa sio utekaji.
Sasa wana mpango wa kumlisha sumu gerezani tusubiri tu!
 
Wamefeli nini? Unadhani mtu akitishia maisha ya viongozi atatoka mahabusu hai?
 
Upo sahihi mkuu
 
Sidhani kama dola ikiamua kufanya utekaji kwa tafsiri hiyo uisemayo unaweza hata kuona vumbi... kumbuka dola hailali ila raia tunalala, kumbuka dola ina kibali cha kuingia kila mahala na kufanya chochote wakati raia hawawezi...
 
Kila Dola liko chini ya Dola kubwa ambalo msingi wake Ni Haki na mfalme wake Ni wa haki na wasimamizi wake hawalali,

Dola likiamua kuteka linatenda uhalifu kinyume Cha haki, hivyo Ni rahisi kushindwa kuficha ushahidi wote kwani limeenda kinyume na msingi wa dola kuu,
Huishia kuumbulia na pengine kuondelea na dola kuu Kama likishupaza sana kinyume Cha haki
 
Infact ,mashtaka ni kuokoteza haoa na pale

Watashindana lakini hawatashinda

Amen
 
Back
Top Bottom