Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bwana Abel Makubi amesema kumeanza kujitokeza vitendo vya kujipatia vyeti feki vya chanjo ya Covid-19 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasijaribu...
Kutoka Abidjan, Ivory Coast, tarehe 8 Agosti,2021.
Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb), Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ameshiriki katika kikao cha awali cha mashauriano kuhusu...
Mbowe kuna baadhi ya laana huwa zinafutika bila shaka hata hii ya Dr Slaa anaweza kukusamehe. Kibuli hakilipi, kuwa mdogo, kuwa mnyonge , jishushe muombe msamaha.
Ukifika mwambie maneno haya...
Leo Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe ameanza Ziara ya Kichama katika majimbo yote ya Pemba. Katika ziara hiyo ameambatana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia Mjumbe wa Kamati...
Wembe ni uleule, CCM ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi.
Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli ni kuleta porojo...
After a very peaceful transition of power following the untimely departure of the fifth phase president of Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli, Tanzania now under the first female president, Samia...
Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye.
Tujue kuwa kuna wafaidika...
Mkutano na waandishi wa habari utaanza saa 8 mchana kutokea ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba
==========
UPDATES:
Humphrey Polepole:
Chama cha Mapinduzi kinatoa aarifa rasmi ya kifo...
Mimi ni mwana CCM Progressive wa siku nyingi.
Ni Kada.
Ni mkereketwa wa nchi hii.
Pamoja na msimamo mzuri wa chama kuwashughulikia kikamilifu mafisadi, lakini napata kigugumizi. Hii ya kutaka...
Tunakumbushana tu sisi wahenga kwamba siasa inahitaji timing na ujanja mwingi.
1980s Disco la Mbowe hotels lilikuwa maarufu sana na watoto wengi wa Ushuwani yaani Oysterbay na Upanga enzi hilo...
Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?
Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu...
Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na...
Kama mada kwenye kichwa ilivyo, ukimuondoa MZEE NYERERE aliyetupatia uhuru na kisha baadaye kuwa na Mzee Mkapa katika awamu ya tatu, niseme wazi Tanzania imekuwa ikongozwa na viongozi wenye uwezo...
Kuna tafrani ya kutupiana maneno kati ya mzee Mudhihiri na Membe kuhusu kujengwa kwa kiwanda cha saruji kilomita 35 kutoka eneo lenye malighafi ambalo ni Mchinga ambapo Mudhihiri ndio Mbunge...
Awali mawakili 386 walijitokeza kumtetea mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe.
Leo mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh James Mbatia amesema kutokana na umujimu wa kesi hii kwa wapenda haki duniani...
Huyu ni Rais wa 4 wa Zanzibar, ambapo alichukua uongozi mwaka 1985 toka kwa Ali Hassan Mwinyi mpaka mwaka 1990 alipomuachia kamarada, Salmin Amour Komando.
Idris Abdul Wakil alikuwa ni Rais wa...
Huenda CCM ikadhani kuwa mchezo walioufanya mwaka huu katika uchaguzi ni kwa manufaa kwao tuu. Laa mimi sioni hivyo,bali ni wa manufaa kwa vyama vya upinzani vyote nchini.
CCM imejipambanua kuwa...
SHAKA HAMDU SHAKA: CHAMA CHA MAPINDUZI KINAJIAMINI NA KUJITEGEMEA KIFIKRA.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uwezo wa viongozi na makada wa chama hicho unatokana na utayari, uthubutu na kuujua...
Na Mwandishi Wetu,
Dar Es Salaam.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuhudhuria kwa maafisa wa kibalozi ,mashirika ya haki za binadamu na Umoja wa Ulaya (EU) zinaweza kuifuatilia kesi yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.