Jamani chondechonde msiingize swala la chanjo kwenye uvyama chanjo sio mali ya chama.
Waelimisheni watanzania wote vile ambavyo wewe unaelewa kuhusu chanjo.
Mtu akizungumza jambo tusikurupuke...
Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania.
Kama ulichokisema ni dhamila...
Kuhusu chanjo ni hiari yako kuchagua kati ya hatari ndogo (Low risk) na hatari kubwa (High risk).
Kila chanjo ina lengo moja tu. Lengo la kuongeza kinga katika mwili wako.
Na kila chanjo lazima...
Asalam-aleikoum Wana-JF,
Nimeona nitoe hoja yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa ya kuanzisha tozo kubwa za miamala ya mitandao kwa kisingizio cha kujenga uchumi. Lakini matokeo yake tunayaona, watu...
Nimetoka kumsoma mdau mmoja maarufu akihoji juu ya undumilakuwili wa Chadema katika misimamo. Anahoji kuwa Chadema wanahamasisha watanzania tugomee tozo za miamala ya simu kwa kutofanya miamala...
Nikiitazama hii picha,
Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata...
Wana-CHADEMA,
Mwenyekiti wenu alikamatwa usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya kule Mwanza akiwa na wanachama na viongozi wengine. Tangu akamatwe, habari ya kongamano imekufa!
Kwa sababu...
TAARIFA KWA UMMA
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na...
Wabunge wa CHADEMA walitoka Bungeni ili kujikinga na maabukizi ya COVID-19 Ndugai akawafutia posho na kutishia kuwafuta Bungeni akawaambia warudi kwani hakuna Corona. Na wafuasi wao wakamshangilia...
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.
Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na...
Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania...
CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani)
Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa...
Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake:
* Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana...
Mpendwa Rais wangu umejitahidi sana kututoa hofu wa Tanzania kuwa unaweza na jinsia yako sio kitu cha kushindwa kuongoza jahazi na tumekubali na kukupokea kwa mikono miwili yawekana kabisa ukaja...
Ni binadamu wachache sana wanaoweza kuunga dots na kupata what is what.
Dkt Mollel ambae alishawahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi wa CHADEMA alishawahi kudai kuwa CHADEMA inahusika na ugaidi...
Ukitazama na kusikiliza mambo mengi wanayofanya wanasiasa duniani kote utagundua kwa sehemu kubwa sana yanachekesha japo huwa yanaumiza wanananchi pia, hii ni aina fulani ya comedy iitwayo vituko...
Salamu Wakuu,
Ni aibu kubwa kwa Mwanachama wa CCM, kumuita rais wa Nchi ya Tanzania eti ni Mama wa Kizanzibari. Hii ni fedheha kwa chama na Serikali na Taifa kwa Ujumla.
Nchi yetu imejijengea...
Naamini Chadema watavuka Katika hili, haya hutokea taasisi inapokua
Na Dotto Bulendu
Kupishana mawazo ndani ya taasisi ni kitu ambacho kipo kote duniani,kikubwa kupishana huku kuwe kifalsafa...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021.
Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.