Mbowe akikutwa na hatia kauli ya Dkt. Mollel juu ya mabomu ya Arusha itaunga dots

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Ni binadamu wachache sana wanaoweza kuunga dots na kupata what is what.

Dkt Mollel ambae alishawahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi wa CHADEMA alishawahi kudai kuwa CHADEMA inahusika na ugaidi. Na ndio ilipanga njama za mabomu ya Arusha ambayo yalijeruhi watu na kuua watu.

Leo hii Chairman Mbowe ana kosa ambalo kama atakutwa na hatia basi tutakuja kuunga dots kuwa Dk Mollel alikuwa mkweli.

My takes: Kama Mbowe akitiwa hatiani basi dots zitaunga.
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Back
Top Bottom