Siasa haina tofauti kubwa sana na black comedy "vituko vyeusi"

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,540
46,081
Ukitazama na kusikiliza mambo mengi wanayofanya wanasiasa duniani kote utagundua kwa sehemu kubwa sana yanachekesha japo huwa yanaumiza wanananchi pia, hii ni aina fulani ya comedy iitwayo vituko vyeusi "black comedy".

Vuta picha ya kiongozi wako yoyote na kumbuka mambo kadha aliyowahi kuzungumza au kufanya mbele ya kadamnasi, mengi yatakufanya uishie kucheka tu.

Mfano wa kituko cheusi maarufu sana ni cha Marie- Antoinette princess wa Ufaransa mwaka 1789 wakati anaambiwa wananchi wanalalamika hawana mikate alipowaambia waacheni wale keki.

Unaweza kuweka kituko cha mwanasiasa yeyote unachokikumbuka
 
Back
Top Bottom