Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa kunakundi la waasi Libya yanateka maeneo, yanatengeneza uhasama na linalotumia makombora kutokea Russia linafanya mazhamWakati ambao mashitaka kwa Mbowe yakianza na wapinzani kushangaa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu! Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hapa tunasema kuwa mama anaupiga mwingi. Kwa kimombo ni diagonal balls. Sasa kampuni ya Elsewedy Electrical itakuja kuwekeza nchini na kujenga Industrial park kubwa yenye ukubwa wa Sq metre...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 4 Dkt. Gharib Mohamed Bilal katika maafali ya 7 ya kutunuku shahada za Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ushindani katika siasa ni jambo lisiloepukika. Ndio msingi wa uwepo vyama vingi. Kushindana kwa sera, hoja, kupingana na kukosoana. Uhusiano wa utawala na vyama vya upinzani sio kama wa mume na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno...
59 Reactions
91 Replies
11K Views
Kwa baadhi ya Wanasiasa na viongozi mbalimbali madhira ambayo wameifanyia nchi hii.... Mi kweli nasema mtu wa namna kwanza anahukumiwa kifungo cha kwenda Jela Miaka 20. Akimaliza akitoka ndo kesi...
1 Reactions
5 Replies
880 Views
Anaitwa Harisson George Mwakyembe mzaliwa wa Mbeya mwaka 1955 Alihudumu kama mbunge wa Kyela mpaka pale Ally Jumbe alipompiga kumbo kinomanoma ktk kura za ndani ya chama Lengo la kuandika ni...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Ninanusa mpango wa kuanza kufungiafungia vyombo vya habari ambavyo vinakosoa serikali hii, lakini ili hilo lifanikiwe ni lazima serikali ya CCM ijifanye iko fair, ndiyo eti chama kilichukua hatua...
12 Reactions
14 Replies
2K Views
Watanzania wapambanaji wenzangu habari. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu.Binafsi nimekuwa nakereka na tabia ya baadhi y watanzania wenzetu ambao wamegeuza maeneo ya kupumzika,majengo ya abiria...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa kuna Habari hazirushwi kwa sababu ya mashinikizo kutoka Serikalini. Moja ya vitu ambavyo vilikuwa vya hovyo awamu ya 5 ni suala la Kuminya Uhuru wa habari, kama habari ipo balanced...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hili ni fumbo kubwa Sana kwa upande wa Vyama pinzani, katiba mbovu inayoshikiliwa na chama tawala , inatumiwa kuwakandamiza Vyama pinzani, huku chama tawala hakiko tayar kabisa kufanya marekebisho...
1 Reactions
4 Replies
719 Views
Gazeti la Chama Tawala limefungiwa kwa kuandika taarifa ya isiyokuwa sahihi kuhusu Mkuu wa Nchi na Amirijeshi Mkuu wetu ambayo imesababisha taharuki za kisiasa, kikanuni na kikatiba kwa taifa...
12 Reactions
47 Replies
5K Views
Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania. Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED...
6 Reactions
118 Replies
20K Views
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi...
6 Reactions
109 Replies
10K Views
Kitendo cha magereza kusema wameshidwa kuwaleta watuhumiwa kwasababu ya tatizo la usafiri ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Hizi kesi kama hii ya Mbowe inaonyesha upungufu mkubwa wa mtandao wetu...
6 Reactions
4 Replies
801 Views
Kufuatia mahojiano ya Mtukufu Rais Samia na BBC, ameweka wazi kuwa vyombo vya habari viko na uhuru wao kamili. Mtukufu Rais amekwenda mbele zaidi akisema kesi ya Mh. Mbowe ni nafasi nzuri kwa...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano Na kazi iendelee Nilikuwa kimya kidogo kutokana na siku 21 za maombolezo jana tumekalisha leo rasmi natoa tamko naingia kumpambania Mama Samia iwe...
13 Reactions
100 Replies
6K Views
Askofu Mwamakula ameandika katika Ukurasa wa Twitter kwamba, kuondoa utaratibu wa usajili wa kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom