Mtego: Wanafanya kila mbinu kutaka wafuasi wa CHADEMA waandamane ili wapate sababu ya kuifuta CHADEMA

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani)

Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.

Wafanyaje ili kutimiza azima yao?

Jibu rahisi ni kwamba, lazima wafuasi wa upinzani wawe provoked, na njia mojawapo ya kufanikisha hilo ni kukamata hovyo hovyo viongozi wa upinzani hasa katika maeneo ambako upinzani (CHADEMA) una nguvu.

Kwahiyo,tujiandae kwa chokochoko zaidi na zaidi tuwe makini kuzikabili hizo hujuma.
 
E2641540-93B8-4355-AFDB-C7CB5D8B7E1B.jpeg
 
Kwahiyo,tujiandae law chokochoko zaidi na zaidi tuwe makini kuzikabili hizo hujuma.
CHADEMA ATA wakiandamana na fujo juu,,hawawezi kukifuta,,,,na wakikifuta ndo wanatengeneza ugaidi wenyewe
 
yaani leo mmekuwa watu msiohitaji kuandamana tena!!!

Ama kweli asiye na hili ana lile.
 
Hata sielewi CHADEMA si ilipoteza Majimbo,Udiwani ,Uraisi?Ubunge kikapata Jimbo Moja ...Mbona inafuatiliwa na ku trend Sana sasa...Kweli mliwaibia kura hawa watu..
 
Hata sielewi CHADEMA si ilipoteza Majimbo,Udiwani ,Uraisi?Ubunge kikapata Jimbo Moja ...Mbona inafuatiliwa na ku trend Sana sasa...Kweli mliwaibia kura hawa watu..Toka Udiwani,Ubunge na Uraisi!!!!
Yaani chokochoko wanazofanya CHADEMA huzioni ila unaona pale wanapokamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ndo unahisi inafuatiliwa. Wakae kimya waache chokochoko uone kama kuna mtu atakua na habari nao.
 
CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani)

Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.

Wafanyaje ili kutimiza azima yao?

Jibu rahisi ni kwamba, lazima wafuasi wa upinzani wawe provoked, na njia mojawapo ya kufanikisha hilo ni kukamata hovyo hovyo viongozi wa upinzani hasa katika maeneo ambako upinzani (CHADEMA) una nguvu.

Kwahiyo,tujiandae kwa chokochoko zaidi na zaidi tuwe makini kuzikabili hizo hujuma.
CCM imeishiwa pumzi
 
Siku hizi hampendi tena kuandamana? Strategy zenu zimebadilika siyo tena za kufanya vurugu?
Hahahhaaa
 
Back
Top Bottom