Kama tutakuwa na mifumo yakuwapitisha Viongozi wa ngazi za juu kutuongoza bila kuwa na mifumo ya kuwandaa kiuongozi ni kurudisha taifa nyuma.
Kumekuwa na kasumba ya vyama vya siasa kupachikana...
Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote.
OCD wa Dodoma...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa...
Ukisikia kuna kupungukiwa akili, ndiyo huku.
Ukikaa mbele ya luninga yako, halafu ukasikia kuwa mazalio ya samaki yanaharibiwa na wavuvi maharamia wa majini. Halafu baadaye ukamsikia mvuvi...
Wanaukumbi.
Chadema mnaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo
Harafu hapo hapo mnunaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo.
Cha kushangaza...
Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi...
Ukweli natamani kuwa mshauri wa Rais.
Rais wetu ni muungwana sana. Ana mtazamo chanya kuhusu taifa. Ila kupitia mahojiano ya leo watu wanaofikiri sana atakuwa kama washauri walitakiwa wabuni...
Yawezekanahiyo Video wanapasha misuli joto ama yawezekana wanafurahi pamoja kama watanzania, silipingi hili kwa sababu amani , umoja na mshikamano ndo jambo la msingi. Lakini content ya hiyo...
Tathmini yangu ya juu ya mahojiano kati ya BBC Na Rais Samia Suluhu Hassan.
Na Dotto Bulendu (MwanaPuge).Nikiandika kutoka kijijini Puge.
@@@@@@
BBC wamefanikiwa kuongeza umaarufu wao Kwa Siku...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA)...
Katika makala yake Mkapa anaandika:-
Yet, when we embraced Western forms of democracy we fell into the trap of making political parties, not as mechanisms for tolerance and inclusion, but of...
Gazeti la Uhuru lina Mkurugenzi Mtendaji wake Ernest Sungura.
Kwa wale wasio mfahamu huyu mheshimiwa, alikuwa akiongoza vile vile TMF, Tanzania Media Fund.
TMF ilikuwa ikitoa fedha za wafadhili...
Nikifikiria jinsi Mzee wa mavieite alivyokuwa na madharau na jinsi alivyokuwa anawapiga mkwara viongozi waandamizi wa CCM lakini leo hii naye anapigwa mkwara na Chongolo nabaki kujisemea tu dunia...
Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya...
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala ya vuguvugu la madai ya Katiba Mpya sambamba na kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na pande mbili zinazosigana kuhusiana na swala hili la Katiba Mpya.
Hebu...
Kwa mara ya kwanza Tanzania yauza bidhaa nyingi Kenya na kuimports kidogo # source the citizen and Central bank of kenya
=====
Tanzania’s exports to Kenya have exceeded its imports to the East...
Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na...
Wasalam:
Kwa hali ilivyo, na jinsi nchi inavyoendeshwa kwa matamko na kuvunja Katiba, jumlisha kauli kinzani za wana CCM zinazowagawa watanganyika huko mbele itakuwa kazi ngumu kuwaunganisha...
Agosti Mosi, 2021 zilisambaa taarifa za kupanda kwa bei ya gesi ambapo mtungi wa gesi ya kilo13 ulipanda kutoka Sh50,000 hadi Sh53,000 na kilo ambapo ukiuka Sh23,000 kutoka Sh21,000 hali ambayo...
A government file containing details of shareholders, tax returns and registration records of Incar Tanzania Limited, a company linked to a controversial contract involving the supply of hundreds...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.