Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Na kazi iendelee
Nilikuwa kimya kidogo kutokana na siku 21 za maombolezo jana tumekalisha leo rasmi natoa tamko naingia kumpambania Mama Samia iwe...
Askofu Mwamakula ameandika katika Ukurasa wa Twitter kwamba, kuondoa utaratibu wa usajili wa kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi...
Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha Serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao, lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa...
Akiwa ziarani wilayani Kyela Waziri mkuu mh Majaliwa ameihoji Mamlaka ya Bandari kwanini meli mpya ya mizigo imepaki tu bila kufanya kazi?
Mhe. Majaliwa amesema inashangaza kuona meli mpya...
Tunapokuwa na Taifa ambalo viongozi na watu wenye uwezo wanapewa kipaombele kwenye kila kitu tunakuza gap la usawa baina ya wananchi. Tumeleta dozi milioni moja kwa ajili ya watawala na wanasiasa...
Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa:
"Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo...
Ukiwasikiliza watanzania wengi wanaonekana wanahofu na chanjo ya Korona lakini hawana mpango wa kuchanja na unapomuuliza kuwa je endapo masharti ya nchi yakabadilika katika swala zima la kupata...
Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki...
Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu...
Mwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi...
Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi.
CCM ni...
Habari,
Afrika, Tanzania ikiwemo tunachagua viongozi kwa kuangalia itikadi ya chama cha mgombea. Kama chama kina wanachama wengi basi kura za mgombea wa chama hicho zitakuwa nyingi na kama chama...
Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo...
"Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Afisa Uhamiaji Mkoa wa Arusha kwamba nifike ofisini kwao kujibu kuhusu uraia wangu namba zake 0684544603":- Charles Odero,
Mwanaharakati...
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.
Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba...
Naomba ushangae
Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi...
Tangu kuanza kwa vuguvugu la kudai katiba mpya mapema mwaka huu likiongozwa na Chadema, Zitto Kabwe na chama chake cha ACT Wazalendo wamekuwa kimya pasipo kutia neno lolote.
Hivi karibuni Zitto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.