Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021. Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni...
33 Reactions
102 Replies
11K Views
Washauri wako hawakuambii ukweli kabisaa. Mimi nimeamua nikwambie ukweli, hali za sisi huku mtaani ni ngumu sana. Mzunguko wa pesa ni mdogo mno mh Rais. Kama unapita humu JF baba, hiyo nati...
14 Reactions
152 Replies
15K Views
Akihojiwa na mwandishi wa Dar mpya katika mjadala uliomhusisha Sosop na Heche juu ya kauli ya katibu mkuu CCM kuhusu hitaji la KATIBA MPYA kwamba. 1. Wanaodai Katiba mpya ni wanasiasa wanaotaka...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Napenda kuwashauri waliokuwa wabunge wastaafu wa CHADEMA na hasa viongozi wa kamati kuu kuanzia mnyika na wengineo kwamba waige mifano ya sugu na professor jay baada ya kuona wameshaukosa ubunge...
1 Reactions
3 Replies
899 Views
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia. Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ile staili ya kuvaa skafu mbona kama siioni siku hizi? Hiki chama kwa swaga ni kiboko. Nakumbuka miaka fulani hivi mtindo huu ulishika hatamu sana. Makamanda walikuwa wakipiga skafu zao...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI ndugu rafiki kaka dada na jamaa zangu Ni Ukweli usiopingika nchi yetu inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii wengi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Walipoambiwa na hayati Magufuli kuwa Corona ni vita ya kiuchumi hivyo wasiichukulie kwa papara kwa kutangaza lockdown hovyo hovyo hawakuelewa, sasa ndiyo wanaanza kuelewa sasa. Kila kitu Kenya...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania WARIOBA ASISITIZA KATIBA MPYA TANZANIA | 13.07.2021 Vuguvugu la kutaka mabadiliko ya katiba mpya Tanzania bado liko juu na safari hii, waziri mkuu mstaafu...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Mimi nimechanjwa chanjo ya P fizer muda mrefu wakati hapa kwetu tukihubiri malimao na matangawizi, Tuliimba pambio wote za ujasiri wakati huo kuwa beberu hafai na chanjo hazifai Leo bila aibu na...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mama Samia huko uliko pokea salamu hizi. Katika siku 100 zako za mwanzo ulianza vizuri ukitupa matumaini mapya nasi tukakupongeza. Lakini baada ya hizo kupita ghafla umetubadilikia. Ama kwa...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua...
1 Reactions
3 Replies
915 Views
Mara baada ya Rais Samia kuchukua madaraka, gazeti la serikali, Daily News, lilichapisha tangazo kutoka STAMICO, la kumpongeza Rais huyo mpya. Zaidi ya kumpongeza, tangazo hilo hilo pia lilitoa...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za kushinda wakuu, Je, ushawahi waza kati ya siasa na utajiri? Na kwa nini matajiri wengi wa Tanzania wanaingia katika siasa. Asilimia kubwa ya Matajiri wakubwa Tanzania washawahi kuingia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau, Wiki hiii naona miraruano na mitifuano ndani ya vyama vya siasa yote haya yanatokea kama vile vyama havina viongozi. Ni wakati wa kujitathmini kwa viongozi wa vyama hivi vikubwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM, Samia alisema, katiba mpya isubiri kwanza. Angalao yeye hakusema kuwa katiba mpya siyo muhimu na wala hakusema siyo hitaji la wananchi. Lakini ukimsikikiza Shaka na Chongolo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunafahamu kuwa wananchi wa nchi hii masikio na macho yao watayaelekeza katika mahakama ya Kisutu, kuanzia tarehe 7 mwezi Oktoba mwaka huu, ambapo mahakama hiyo itasikiliza mfululizo kwa siku 5...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo...
40 Reactions
275 Replies
53K Views
Back
Top Bottom