Ni vema mkatoa tamko ambalo liko backed na Sheria zetu kuwa waje Tena kwa wingi mahakamani. Kesi hii Ni ya wazi na Sheria inaruhusu wasikilizaji. Wanaweza wakatishwa na kutishika. Wahimize waje...
Awamu ya nne pamoja na kupambana na rushwa iliweza kuachia Uhuru wa watu kukemea maovu.mtakumbuka kipindi kile masanja akavuma na msemo wake wa "wizi mtupu".Serikali ilimwacha Kama msanii afanye...
Nawashangaa Watanzania kulalamikia tozo wakati wanajisahau kuwa upo mwarobaini ambayo ni katiba pendekezwa ya Jaji Warioba. Wengi wa upande ule wa CCM wanadhani katiba mpya itaipa upinzani nafasi...
Tanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60
Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa...
Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao...
Wanakukwaa, hivi kulikuwa na umuhimu gani kwa serikali kununua midege zaidi ya kumi ilihali inajua haina shule, hospitali, barabara na madawa mahospitalini?
Then leo inaanza kutuumiza wananchi na...
Mfumo wa forced account ni mfumo wa taasisi kufanya kazi bila kufuata sheria ya manunuzi ikiwemo standard za utoaji tenda. Kupitia forced mkurugenzi, madiwani na viongozi wengine watafungua...
Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo
Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha...
Salaam Wakuu,
Sisi watu wa Mungu hatuwezi kuwa chini ya wanasiasa sababu tunamtumkia Mungu Mkuu aliye hai. Vyote vitapita.
Sisi watumishi wa Mungu ni sauti ya Mungu. Na ataksyebishana nasi...
UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI
Na, Robert Heriel
ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word)
Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya...
Serikali inayokkaribia kufeli, ukiona wananchi wanawekewa maneno mdomoni na watawala kwamba wamekubali mambo fulani.
Ukiona wananchi wakilazimishiwa fulani awe kiongozi.
Ukiona serikali inakosa...
Mimi mara ya kwanza nilikua mpingaji mkubwa wa tozo ya jengo, nilipinga sana nikwa najiuliza kwanini tulipie kodi ya jengo hata ambao tumepanga.
Lakini baada ya kujifikiria kwa kina nimeona huu...
Bwana Yesu apewe sifa!
Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea.
Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia...
Walisema wameongeza shilingi 100 kwenye mafuta kwa ajili ya barabara, wakaanzisha makato kwenye miamala wakadai ni kwa ajili ya barabara, wakakopa trilioni 2.7 kwa ajili ya barabara. Kwa nini...
Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?
Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri...
Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi.
Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa...
Poleni UVCCM, Poleni sana!
Poleni LMB7, Poleni sana!
Poleni MATAGA, Poleni sana!
Poleni CHAWA wote, Poleni sana!
Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine...