Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
HISTORIA MAGEUZI SEKTA YA MAJI YAANDIKWA SHILATI, RORYA WAZIRI WA MAJI Jumaa Aweso amezindua mradi wa Ukarabati wa Miundombinu ya Maji Shirati Wilayani Rorya. Mradi huu ni mafanikio ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mrejesho - day 1 (2nd Aug): Nitapata chanjo yangu inshallah pamoja na washirika wangu makwetu. Hili si zoezi la kukosa mimi na wote niwapendao. Hayawi hayawi hatimaye huenda yatakuwa. Tumefika...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Je, tuendelee Kumjadili anayetuhumiwa kwa Ugaidi Freeman Mbowe ( Mwenyekiti Taifa CHADEMA ) au tumjadili zaidi mshukiwa wa Makosa ya Jinai Ole Sabaya ( DC Mtumbuliwaji wa Hai ) na Utetezi wake...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
1 Reactions
4 Replies
849 Views
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja. Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni...
56 Reactions
122 Replies
11K Views
Ni katika kuweka kumbukumbu sawa kwamba DC mstaafu Ole sabaya na diwani Msangi waligombania nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha na Ole sabaya akaibuka kidedea. Kwa sasa DC mstaafu Ole...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC. Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule...
16 Reactions
95 Replies
8K Views
Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi! Ninachotaka kusema, Wakubwa...
1 Reactions
2 Replies
956 Views
Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo Mh.Nikki amepokea mwenge wa Uhuru, hii ni hatua nyingine kabisa katika kuijenga kisarawe mpya. Ikumbukwe kuwa Mh.Nikki ni mkuu wa wilaya mpya hivyo leo ameandika historia yake kwa kuupokea...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata. Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wote tunashuhudia yanayoendelea na unapojaribu kufukunyua unakutana na kigingi cha utetezi: nilitumwa kufanya hivi Ukimpata aliewatuma unakuta ana kinga ya kutokushtakiwa kwa mambo aliyofanya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nchi za Ulaya kashfa iliyoibuliwa leo mahakamani ilitosha kumwondoa gavana na Makamu wa Rais lakini huku kwetu kashfa ile inafaa kutumika kuendelea kumweka madarakani kiongozi mwenye maelekezo...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Lala salama baba. Tunakushukuru sana wa huduma Mungu aliyokuwa amekujalia Uliitumia vyema karama Mungu aliyoiweka ndani yako Mwendo umemaliza 💔💔💔 --- Daktari Bingwa wa Watoto Dr Augustine...
16 Reactions
153 Replies
22K Views
Ni ushauri tu kwamba kesi inayovuta hisia za wengi ni vema ikaendeshwa kwa haraka ili iishe watu waendelee na ma8sha Naipongeza sana mahakama ya Arusha kwa jinsi ilivyo na spidi na viwango katika...
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Kila ninapowaona viongozi wakuu na uvaaji barakoa uaniletea maswali kadhaa. Mara nyingi utawaona wamezingatia kuvaa barakoa mara tu wanapoonana lakini baada ya kuongea mawili matatu unakuta...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari za siku nyingi wana jamvi. Naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Baada ya kufariki kwa John Magufuli ambaye serikali yake 'haikuwa' na uwezo wa kuwatambua na kuwashughulikia watu...
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Back
Top Bottom