kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mfumo wa forced account ni mfumo wa taasisi kufanya kazi bila kufuata sheria ya manunuzi ikiwemo standard za utoaji tenda. Kupitia forced mkurugenzi, madiwani na viongozi wengine watafungua makampuni ya ujenzi na kupewa tenda bila proper vetting. Lakini pia mfumo huu kwenye halmashauri utakwamisha miradi mingi na chunguzi nyingi za TAKUKURU Jambo ambalo litaondoa value for money maana wakati chunguzi zinaendelea na kabla yakubadilisha wakandarasi majengo yatasimama. Ila pia ubora utasimamiwa na nani kwenye halmashauri?
Mhe. Rais nakuakikishia Leo hii kwamba huu mfumo wa forced account unaokwenda kutumika utakachofanya niwewe na serikali kukusanya pesa kwa mtu mmoja mmoja na kuzikabidhi kwa mabepari wachache. Hakuna mwanakijiji anayekwenda kunufaika . Kama tunaona sheria ya manunuzi inakwamisha miradi Kama hii Bora tufanye maboresho yanayoruhusu tenda na mambo mengine kufanyika kwa haraka kwa miradi hii ya maendeleo ya madarasa na hospitality kuliko Kutumia ffoced account system