Maditkteta hupanda madarakani kupitia vurugu au mapinduzi au wizi wa kura. Hata hivyo wapo madikteta walioingia kwa njia halali na baadaye kugeuka na kuwa madikteta. Kwa mfano Adolf Hitler...
TAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi saa Saba kamili mchana tutafanya mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Waandishi wote mnakaribishwa .
Tunashauri kuzingatia protocol zote...
Mwaka 2007-2013 wanaharakati wa Kenya kwa masaada wa wanaharati wasiowazalendo wa Tanzania walianzisha kampeni na kufungua kesi katika mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kupinga ujenzi wa...
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa...
JPM tuliambiwa mitano Tena, leo hii wakongwe wanasema mitano inatosha. Wamefika point Hadi kwenye gazeti wakaandika mitano inatosha, je Kama wanachama wanaamini mitano inatosha wananchi...
Dar es Salaam.
Serikali imeanza kutoa kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 zitakazoitwa Vaccine Electronic...
Watanzania muda umefika wa kuweka pembeni tofauti zetu za kisiasa na badala yake tuungane kupinga uonevu na dhuluma.
Rais anasema watanzania wameridhika na tozo. Hakuna mtanzania aliyeridhika na...
Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania?
Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio...
Nilichokiona jana na leo hapa Boko Magengeni ni aibu kabisa.
Askari walikuja na defender wakashuka na kuwavamia vijana waliopaki pikipiki zao za biashara. Mara tukasikia wanauliza “we una sh...
MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA
Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo...
Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,
kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo...
Tanzania kinara uwekezaji EAC kwa dola bil. 1
TANZANIA imezipiku nchi zote za Afrika Mashariki kwa kupata uwekezaji mkubwa wa Dola bilioni 1.0, kwa mujibu wa taarifa ya uwekezaji ya kidunia...
Habari Tanzania!
Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi.
1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika...
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".
Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.
Hakuna kitu rahisi hapa...
Pia soma > Kwanini Waziri Gwajima anaficha taarifa ya Dkt. Sospeter Bulugu kuzidiwa ghafla wakati akitoa hotuba?
Kwa hiyo ndugu zangu:
#Twendeni Tukachanje
Kumekuwa na kawaida ya kutishiwa kwa vyama vya upinzani kutishiwa kuwa ni vya kigaidi na wanafanya uhalifu hivyo vitafutiwa usajili wao.
Lakini leo Sabaya ambae ni kada maarufu wa CCM tena...
MHE MWENDA ASHIRIKI KONGAMANO LA WAKULIMA-SINGIDA
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ametembelea Kongamano la wadau wa Alizeti lililofanyika Singida Mjini na...
Kesi inayoendelea Arusha ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya hai bw. Sabaya jana alianza kutoa utetezi wake. Katika kujitetea amewataja baadhi ya viongozi waliompatia maagizo ya kutekeleza hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.