ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,346
- 1,819
Ndugu zangu!
Wananchi wanapendekeza Mh. Mussa Azan almaarufu 'Zungu' ajengewe sanamu la kumbukizi, au angalau apongezwe hadharani na kutunukiwa nishani.
Hoja yake binafsi ya TOZO imeonekana kuwa mwarobaini, ni chungu lakini itawaponya wengi sana.
Ni muda wa takribani wiki 4 tu tangu tuanze kuchangia KODI ya uzalendo, matokeo chanya yameonekana.
Hakika tujipongeze, huku tukiwa na namna njema ya kuwaenzi watu wenye mawazo suluhishi kama kina Zungu.
Kama Taifa, tunahitaji kina Zungu wengi ili kuifikia nchi ya ahadi.
Nawasilisha.